07 September 2025
Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 07-09-2025: CCM isisahau Misingi yake
View: https://m.youtube.com/watch?v=gO-dZiTtIVQ
Tunasikiliza hapa ktk kijiwe chetu, tutatoa mrejesho :
Mada :
POLEPOLE - TUSIKUBALI MARIDHIANO BAADA YA UCHAGUZI FEKI, MAANA NI UTAPELI

- Poleni kwa midikosiko kwa yale niliyoyasema
- Maafisa wa itifaki Ikulu na wizara ya mambo ya nje
- Angalizo kwa idara ya usalama wa taifa TISS
- Jamaa bonge bonge 'biggie' wa Zimbabwe mwenye sifa za utata kujaribishwa ikulu
- Biggie kuposti mapicha picha
- Utamaduni wa protokali umenajisiwa
- Heshima ya taasisi ya urais umekiukwa
- Jamii Afrika almaarufu JamiiForums kubebeshwa lawama
- Mapicha picha ya jamaa wa Zimbabwe na safari ya mwisho ya JPM Morogoro
- Tabia za hovyo za biggie tipwatipwa Wicknell sebuleni kwake kuletwa hadi Ikulu ya Tanzania
- Madai ya TCRA kuhusu mizania ya habari kuto balansi-wa
- Ubabe wa vyombo
- Marufuku ya media kurusha mazungumzo ya Humphrey Polepole
- Na nukta / point kibao, futatilia kuiangalia video hadi mwishon