Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hata mie nashangaaHili ni la lini tena???
Mpuuzi polepole hana jipya ni speculations tu ila wajinga kama wewe unaingizwa cha kikePolepole hebu shusha makombora ya nyukilia ili mama aogope hata kutoka nje. Mambo ya ushauri waachie akina Kikwete na Mchengerwa.
Unakili kidogo sana kama unamuona poyoyo ana akili ?Who trained Polepole? Umri wake na uwezo wake! Mentor wake ni one of the best ever ....
1. Kwani siyo kweli kwamba mama alipiga picha na mhuni Chivayo akiwa kavaa kanga?.Mpuuzi polepole hana jipya ni speculations tu ila wajinga kama wewe unaingizwa cha kike
USSR
Ungeanza kufunguka wewe uliyejificha kwenye fake IdPolepole em afanye hip hop, aache maneno YA kanga, kama ameamua kufunguka em afunguke jumla
Wewe na Id fake unajiona una akili kuliko Pole pole anayejitokeza hadharaniMpuuzi polepole hana jipya ni speculations tu ila wajinga kama wewe unaingizwa cha kike
USSR
Tatizo lenu wabongo mkiona mtu anaongea Sana ndo mnaona anajua mambo mengiUngeanza kufunguka wewe uliyejificha kwenye fake Id
Jitokeze hadharani useme utawala wewe shujaa wa I'd fakeUnakili kidogo sana kama unamuona poyoyo ana akili ?
USSR
sure, very smartWho trained Polepole? Umri wake na uwezo wake! Mentor wake ni one of the best ever ....
Kama kwa haya nina akili ndogo basi mimi nastahili kuwa think tank wa Taifa hili!Unakili kidogo sana kama unamuona poyoyo ana akili ?
USSR
Wana mtandao bado wapo sana mkuuKama Ubongo wako ukishindwa kuchakata kitu hapa... kuelewa.....,
Basi ubongo wako unabidi ufanyiwe total brain overhaul!
Kujua yajayo...yanatarajiwayo....Basi unapaswa kuamini tu ya kwamba ....BWANA ATATENDA!... hiyo tu inatosha sana kwa sasa!