GE2025 Polepole: Kuna mtu fulani Ofisi Binafsi ya Rais anamkosea sana Samia, anamchomekea maneno fulani ya uongo na kuchukiza kwa watu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
07 September 2025

Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 07-09-2025: CCM isisahau Misingi yake


View: https://m.youtube.com/watch?v=gO-dZiTtIVQTunasikiliza hapa ktk kijiwe chetu, tutatoa mrejesho :

Mada :

POLEPOLE - TUSIKUBALI MARIDHIANO BAADA YA UCHAGUZI FEKI, MAANA NI UTAPELI
  • Poleni kwa midikosiko kwa yale niliyoyasema
  • Maafisa wa itifaki Ikulu na wizara ya mambo ya nje
  • Angalizo kwa idara ya usalama wa taifa TISS
  • Jamaa bonge bonge 'biggie' wa Zimbabwe mwenye sifa za utata kujaribishwa ikulu
  • Biggie kuposti mapicha picha
  • Utamaduni wa protokali umenajisiwa
  • Heshima ya taasisi ya urais umekiukwa
  • Jamii Afrika almaarufu JamiiForums kubebeshwa lawama
  • Mapicha picha ya jamaa wa Zimbabwe na safari ya mwisho ya JPM Morogoro
  • Tabia za hovyo za biggie tipwatipwa Wicknell sebuleni kwake kuletwa hadi Ikulu ya Tanzania
  • Madai ya TCRA kuhusu mizania ya habari kuto balansi-wa
  • Ubabe wa vyombo
  • Marufuku ya media kurusha mazungumzo ya Humphrey Polepole
  • Na nukta / point kibao, futatilia kuiangalia video hadi mwishon
 
Kama Ubongo wako ukishindwa kuchakata kitu hapa... kuelewa.....,

Basi ubongo wako unabidi ufanyiwe total brain overhaul!

Kujua yajayo...yanatarajiwayo....Basi unapaswa kuamini tu ya kwamba ....BWANA ATATENDA!... hiyo tu inatosha sana kwa sasa!
Aisee
Kwa jinsi unavyojua kuambatanisha kideo kadhaa kwenye posti moja, wewe lazima utakuwa adumini wa magrupu ya wasap.....
 
Yeye aseme tu yule katibu wa Rais sijui anaitwa Waziri Rajabu ambae kigogo kamchana.ni mfitinishaji hapo ikulu, dili zote chafu zinapitia kwake.kumuona tu Rais lazima uwe na 50m mkononi kwanza.jamaa kafanya ofisi ya Rais kama ghetto lake,na mbaya zaidi jamaa kumbe kichwani ni zero brain,keshagombana na viongozi kibao hapo ikulu.
Ndo anayewaalika wahuni kama sampuli za kina Dotto magari ikulu.
Kwa kifupi jamaa hafai kuwa hiyo nafasi.
 
Ana shusha migorofa kama mbena marumbi 😂
 
2. Kwani siyo kweli kwamba mama anachota fedha Tanganyika na kuipeleka Zanzibar mpk anafanya huduma za afya kuwa bure?.
Jambo lililo wazi kama hili, lakini watu wenye akili timamu bado hawaelewi; sijui hapo kufanyike nini ndipo waelewe!

Samia akikaa madarakani miaka mitano, Zanzibar haitakuwa na haja ya kuendelea kuwa kwenye muungano; kwa sababu mahitaji yake yote itakuwa imekwisha yatimiza.
 
Ajabu ni kuwa hata jina sahihi ulikosea. Kumbe jina halisi ni "DOMO BAYA", na siyo "JITU BANDIA"!
 
Mpuuzi polepole hana jipya ni speculations tu ila wajinga kama wewe unaingizwa cha kike

USSR
Mkuu mbona unatukana watu kama una ukweli unaoufahamu si uongee na wewe ili tulinganishe hoja zako na za Polepole
 
Hivi ndo kusema sisi hapa Tanzania hatuna akina Troure wetu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama?

Iweje nchi if ifanyiwe ufedhuli kiasi hiki wakati Kuna watu viapo vyao ni kulilinda taifa kwa nguvu na akili zao zote ikiwezekana hata kufa.

Km sisi raia wa kawaida tusio na chembe ya funzo lolote la kijeshi na ulinzi kwa rasilimali za taifa tunaingiwa na uchungu kwa maovu ambayo nchi yetu inafanyiwa inakuwaje kwa mtu ambaye uzalendo na kiapo chake kinamtaka kuiona nchi kama ni mali yake. Maana Kuna watu mpaka hawana muda kabisa na familia zao na hawajulikani kama wapo au walishakufa kwenye familia zao. Ni faida gani kutojulikana kwenye mji wako kama huwezi kukipogania ambacho kwacho uliapa.

Majeshi yetu tuna Imani kubwa sana na nyinyi ebu muwe serious basi achanane na maafisa wenu wakuu ambao wameamua kuwa wazalendo kwa matumbo yao. Tumikiani kiapo chenu okoeni taifa hao vibonge wanaoinajisi ikulu yetu msiwaruhusu na anayewaingiza ebu piteni nao hao wajinga wanaoichezea nchi mambo yarakaa sawa. Kama hamuwezi acheni tu hata kulilinda li nchi kinafiki na muende tu mkasalimie kwenu mnapoteza tu muda kama taifa linabagazwa na kubanangwa na nyinyi mmetuliza fuvu na mapumbu tu kwenye uniform zilizojaa uzalendo
 
Sawa mkuu
 
Huyo dogo ans
Huyo dogo ana elimu gani namuona kama muhuni ambae yuko Ikulu
 
Nasikia Traore wa mchongo amekuwa compromised
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…