Haujakatazwa kuenda kugida Kitambaa Cheupe.OK, does it help?
Hizi ni siasa za masuala mkuu. Zinahitaji akili kubwa siyo za kina mwijaku. Ni vizuri kama Huna interest ukaziacha zipite kwa wengine . Wewe subir kina rostam wakuletee baiskeli, t-shirt na kofta yako. Huku ukipigiwa nyimbo za taarabu na Pombe halafu ukatiki. Haya anayoongea huyu polepole wewe ni makubwa sana kwakoSawa.
Soma Hagai 2:9Polepole naye asizingue, apasuke kabisa atueleze pia Juma Kivuruge na Malikia walivyohusika kumtanguliza JPM kuzimu.
Mara nyingi mtu anayeongeaongea kwamba ana akili kubwa huwa ni kinyume chake.Hizi ni siasa za masuala mkuu. Zinahitaji akili kubwa siyo za kina mwijaku. Ni vizuri kama Huna interest ukaziacha zipite kwa wengine . Wewe subir kina rostam wakuletee baiskeli, t-shirt na kofta yako. Huku ukipigiwa nyimbo za taarabu na Pombe halafu ukatiki. Haya anayoongea huyu polepole wewe ni makubwa sana kwako
Lakini pia chawa huwa anapenda kukaa mahali PACHAFU. Ulishawahi kumuona chawa palipo safi ili wewe uwe wa kwanza?Mara nyingi mtu anayeongeaongea kwamba ana akili kubwa huwa ni kinyume chake.
It's still within manageable limits, which is why I occasionally engage in lighthearted commentary on social mediaGet some help asap
Ninapokaa Mimi wazazi wako, wewe, watoto wako na wajukuu zako mpaka wanafariki HAWAWEZI kufikia hata robo ya mazingira safi na mazuri ninayoishi. Na hii yote ni kwa mchango wa CCM na Serikali yake!!Lakini pia chawa huwa anapenda kukaa mahali PACHAFU. Ulishawahi kumuona chawa palipo safi ili wewe uwe wa kwanza?
Sawa. Lakini hii haiondoshi UCHAWA. Hivyo vitu vyote ulivyokuwa navyo vimetokana na UCHAFU WAKO na RUSHWA iliyopo ccm. Wala hukuvipata kihalali kama unavyotaka dunia ijue hapa. Kwakuwa wewe ni CHAWA unapenda kuishi pachafu.Ninapokaa Mimi wazazi wako, wewe, watoto wako na wajukuu zako mpaka wanafariki HAWAWEZI kufikia hata robo ya mazingira safi na mazuri ninayoishi. Na hii yote ni kwa mchango wa CCM na Serikali yake!!
Nenda yutyubu bhanaLink yake mkuu
CHADEMA wapo upstair mjuba, hawa hawatanii, ona kibano wanachopewa, anzia na mwenyekiti wake.SINA IMANI NA VYAMA VYOTE VYA SIASA KWA MUSTAKABALI WA NCHI YANGU....MFUMO WOTE UFUMULIWE.
Inahusiana nini na Juma Kivuruge na demu wake kumtanguliza kuzimu shujaa?Soma Hagai 2:9
Jina niandikeje?Nenda yutyubu bhana
Andika wanaotwajwa bhanaJina niandikeje?
Ajabu serekali inaminya mitandao kwenye kupata huko huko.Watz kwa kupenda umbea lazima wananunue bundle na serikali ipate kodi kutokana na huu umbea