GE2025 Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
nakumbuka wakati wa Mrema (rip) nilikuwa mbele kushambulia magabacholi kina gulamali baada ya Mrema kutoa order kwamba tushambulie, ilikuwa shida, ningependa tupate kiongozi kama Mrema (tena) ….
 
Ongeza na Rai kwa wananchi waandae VPN

VPN nzuri moja wapo ni Turbo VPN ni free pia kuna browser inaitwa Tor
 
..kwanini magufuli hakuwakamata, akamnyima haki ya kutibiwa kama mbunge, na akatuma mawaziri na igp kumkejeli na kumtukana Lissu?
Unajua likitokea jambo baya kwa mbaya wako. Si unaona mkuu wa nchi na wengine wanavyoshangilia kifo cha Dkt Magufuli. Ila usikute wao hawajamuua
 
Unajua likitokea jambo baya kwa mbaya wako. Si unaona mkuu wa nchi na wengine wanavyoshangilia kifo cha Dkt Magufuli. Ila usikute wao hawajamuua

..hata kama Magufuli hakuhusika, lakini aliyoyatenda, au yaliyotendwa na serikali yake, baada ya Lissu kuumizwa yanafikirisha sana.
 
..hata kama Magufuli hakuhusika, lakini aliyoyatenda, au yaliyotendwa na serikali yake, baada ya Lissu kuumizwa yanafikirisha sana.
Sana mkuu. Siyo huyo tu bali hata kifo cha Agustino Maiga kilifikirisha sana yaani kabla hata hajazikwa akaapishwa mwingine. In short tunapitia kipindi kigumu kama nchi kisa rushwa na ufisadi na tamaa ya kujilimbikizia mali na madaraka. Yaani uroho ndiyo unafanya viongozi wauane. Na hapo bado maana according to habari za watumishi wa Mungu hata bosi kubwa lazima naye afe tu ili nchi ipone. Sisi tulishamaliza kulia tunasikilizia tu maana alianza mbobezi 😂 bado wengine kibao
 
Labda wamemuua jamaa kwasababu ya hii press Ili attention isiwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…