paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Niwe nisiwe hainpunguzii Wala kuniongezea chochote, Na Neno Hilo haliwezi kuwaogopesha watu kuandika maoni Yao eti tu wataitwa Mataga! Huwezi kutetea hoja zako za kipuuzi kuwatishia watu eti utawaita Mataga wakichelenji hoja, wataendelea, kwa sababu hawawi hivyo kama akiri yako ilivyounda taswira hiyo!Wewe ni Mataga huna jipya
Magonjwa mtambukaHata wakipiga kura mapolisi watupu hafiki hata 50%. Maigizo hayana mvuto tena.
ππππMagonjwa mtambuka
Crimea
Wakudadavua
Johnthe baptist
Lizaboni
Nyani Ngabu
Paskali Mayala
Bia yetu
Drone camera
Jane Lowasa
USSR
Paul Sylvester
Mr chopa
Troll JF
Tramadol
Nawatafuna au anafunwa
Hawa wote lazima wampigie kura Lifuguma
Hapo wengi nimewalamba block.
Nakala ya huo utafiti?Utafiti umefanyika hivi karibuni!
Wanaogopa kunyang'anywa passportTafiti zinazofanywa na vyama vyenyewe Haziwezi kuaminika kabisa kama kweli zimefanyika. Kwa nini wasitumie independent researchers???
Nimekuelewa Mkuu....!!Nisome tena Mkuu unielewe.
Anakubalika vipi?Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya 70% wanaikubali CCM.
Komredi Polepole amesema hayo jijini Mbeya alikoendesha harambee ya kuichangia CCM na kuvunja rekodi kwa kukusanya sh 160 milioni kati ya sh 156 milioni zilizobajetiwa
Wananchi wa Mbeya wamesema watampiga chini Sugu liwake jua au inyeshe mvua na kwamba watamchagua mgombea yoyote atakayeteuliwa na CCM
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
dah hahahahahaha walau hapo .siyo utafiti alo fanya polepoleKura ya maoni niliyoifanya inaonyesha Lissu anakubalika kwa aslimia 96%
Magufuli anakubalika kwa aslimia 4%
Na chadema inakubalika kwa aslimia 98%
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya 70% wanaikubali CCM.
Komredi Polepole amesema hayo jijini Mbeya alikoendesha harambee ya kuichangia CCM na kuvunja rekodi kwa kukusanya sh 160 milioni kati ya sh 156 milioni zilizobajetiwa
Wananchi wa Mbeya wamesema watampiga chini Sugu liwake jua au inyeshe mvua na kwamba watamchagua mgombea yoyote atakayeteuliwa na CCM
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Sasa kama anapendwa ndio pa kuleta Tume huru basi ili adhihirishe kuwa anakubalikaKatibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya 70% wanaikubali CCM.