Uchaguzi 2020 Polepole: Kura ya maoni inaonesha Rais Magufuli anakubalika na wananchi kwa 90% na CCM inakubalika kwa 70%

Uchaguzi 2020 Polepole: Kura ya maoni inaonesha Rais Magufuli anakubalika na wananchi kwa 90% na CCM inakubalika kwa 70%

Sasa ni kipi kinamuogepesha kuruhusu TUME HURU!? Na hii sample yake ilikuwa ni ya ukubwa gani na katika mikoa ipi?

Ukisikiliza hotuba yake yote huyu jamaa,kisha ukamtazama anayofanya sasa ni mbingu na ardhi.

Waliutendea haki mchakato wa katiba mpya.

Tusubirie miaka 50 ndiyo tumpate kikwete mwingine.
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya 70% wanaikubali CCM...
😂😂😂😂kweli mwamba wadudu washaharibu ubongo ingekuwa hivyo mbona hasingekua na hofu na wapinzani kweli na kuacha kuwekeza kwny wapinzani fake mbatia na Mrema na Prof hovyo
 
Tunaomba muchapishe fomu nyengine basi aje kuchukuwa Membe walau tujiridhishe ni kweli anapendwa kwa 90% au 100%. Maana isijekuwa anapendwa kwa 100% ila Slow Slow anapindisha takwimu.
Thubutuuuu.. hawezi kumpatia..yesu wa chatto ataangukia kisogo [emoji23]
 
Na hata 2015 Maguful aliibeba CCM mwenyewe, inawezekana kabisa Kwa sababu hata Mimi binafsi namkubali Magufuli kuliko......
Yes ndo maana alipata kura 4000000 ..hzo nyingine ni kwa msaada wa Tume ya uchaguzi...hakushinda
 
Tafiti zinazofanywa na vyama vyenyewe Haziwezi kuaminika kabisa kama kweli zimefanyika. Kwa nini wasitumie independent researchers???
 
Wangejitangaza hivyo Chadema[emoji3]asubuhi tu mbowe na wenzie wangeamkia kisutu[emoji3]
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya 70% wanaikubali CCM.

Komredi Polepole amesema hayo jijini Mbeya alikoendesha harambee ya kuichangia CCM na kuvunja rekodi kwa kukusanya sh 160 milioni kati ya sh 156 milioni zilizobajetiwa...
Hiyo 90% labda sample wamechukua kwenye Ukoo wa JEIPIEMU.
 
Kwa nini vyombo vya habari vya Tanzania hurusha habari za uongo za CCM? KWA nini vyombo vya habari Tanzania havirushi habari za kweli za vyama vingine?

Kwa nini vyombo vya habari vinaogopa hata kuwahoji viongozi wa vyama vingine?
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya 70% wanaikubali CCM....
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM komredi Polepole amesema katika kura ya maoni iliyofanyika kuelekea uchaguzi mkuu imeonyesha Wananchi zaidi ya 90% wanamkubali sana Rais Magufuli na zaidi ya 70% wanaikubali CCM...
Mbona kuchukua fomu peke yake?
 
Sasa ni kipi kinamuogepesha kuruhusu TUME HURU!? Na hii sample yake ilikuwa ni ya ukubwa gani na katika mikoa ipi?


Ahsante,nilitaka kuongelea sample naona umemaliza,hata humu JF tukiweka poll ya CCM vs CDM utaona picha inavyokuja.
😃😃😃
 
Back
Top Bottom