PolePole kuzungumza na Umma kesho tarehe 1/9/2025 saa 3 usiku.

Ukikaa "nchale"
Kama akili za wananchi ndio hizi ndio maana Abdul anatembelea gari la 20B na hakuna chochote mnachoweza kufanya. Jitu zima linashabikia hekaya za mtu yupo Cuba na US lenyewe linasaga TZ 11 kariakoo kufanya uwinga huku halina uwezo wa kubadilisha chochote zaidi ya kutype mitandaoni
 
Kule kimambi anapiga misumari ya moto makalioni ...huku polepole anapigilia magunzi anamalizia mwamba Gwaji boi anawatanua hahaaaa acha tuone
 
Wenye uzi zinazomhusu Pole pole, inaonekana wanaongeza followers kede kede,wangekua wanalipa wenye mitandao,wangekua na minoti balaaa mifukoni.
 
Aendelee kufukiza moshi kwenye mashimo wahuni wataibuka wenyewe 🤣🤣
 
Mkata umeme na mzima internet watapata kazi kufanya yao
 
Naomba kwa wenye kujua jana tarehe moja amesemaje Pole pole?? Wengine twategemea humu jf kutupa up dates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…