Polepole - kwa mazingira haya tukatae uhuni Tanzania

Polepole - kwa mazingira haya tukatae uhuni Tanzania

Ryan Holiday

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
3,499
Reaction score
5,956
Link Down Below

Rostam Aziz anamiliki hisa katika kampuni kadhaa zinazojihusisha na uchimbaji madini ya makaa ya mawe, hasa kampuni yake ya Taifa Mining and Civils ambayo ilinunua hisa za kutosha katika Mgodi mkubwa kabisa nchini wa TANCOAL, kutoka Intra Energy Corp. Mwaka 2021.

Rostam alikuwa mwanahisa mwenye hisa nyingi katika kampuni ya TANCOAL, ambayo inaendesha mgodi wa Makaa ya Mawe wa NGAKA (mgodi mkubwa kuliko yote nchini).

Taifa Mining ilinunua hisa nyingi toka Intra Energy mwishoni mwa mwaka 2021 na hisa binafsi za Rostam ndani ya Taifa Group ziliwekwa bayana mwanzoni mwa mwezi Aprili 2025.
 
Amegusia kuhusu Mgodi wa makaa ya mawe ulionunuliwa na Rostam Aziz pamoja na Mgodi wa Almasi wa Williamson.
Migodi yote miwili Rostam ameinunua Samia alipoingia madarakani.
#kataawahuni

Hahahahahaha, huyu jamaa yetu kuna watu wanamlisha matango.,.. juzi humu tumeandika kuhusu Williamson na hisa Petra naona ndiyo amepata taarifa....

Mwambieni hata kama tunamchukia hiyo migodi aliichukua kihalali, Petra na Tancoal wote walikuwa wanadaiwa madeni makubwa baada yakupewa huduma kwa muda mrefu na kampuni ya Caspian, both Petra na Tancoal walisurrender hisa Kwa hiari tuache kudanganya watu hata kama tuna shida na RA.

safarini Khartoum Sudan.
 
Back
Top Bottom