ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 5,277
- 12,506
Ndio wabeba kamfuko hawa mkuumkuu lazima kuna sehemu una nufaika na mrija wa utamu, naona unaogopa ukiminywa utakosa utamu
Ndio wabeba kamfuko hawa mkuumkuu lazima kuna sehemu una nufaika na mrija wa utamu, naona unaogopa ukiminywa utakosa utamu
Unakosea sana kumtaja Jiwe kwenye ishu muhimu. Mtaje kwenye ishu zenu za unyonge. Sasa hivi ni kukataa wahuni lakini hatuungi mkono sukuma gang au kujiita wanyonge. Tapambane na hii hali iliyopoNi wakati wa kumlilia JPM, hata waliomchukia weka hasira pembeni, tupiganie uzalendo wetu.
Transactions zinazofanywa na mtandao wa wahuni zina mambo mengi na mikakati mingi. Kukwepa kodi ya Serikali ni moja ya strategies zinazopewa kipaumbele. Kwa mauzo hayo, sidhani kama Serikali iliambulia capital gain tax yoyote.Kwamba mimi ndio RA mwenyewe hahaha.
Uongo na kumanipulate watu kwasababu hawana details ni watu wakupokea ndio nisichokipenda.
Mbona hatuambiii namna Barrick alivyofanya Hostile take over kuachana na Acacia na kununua 40% hisa za Acacia...
Alichofanya Rostam kupitia kampuni yake Caspian ni kumalizana na wadeni wake Petra na Tancoal Kwa wao kumuuzia Hisa, kwasababu ni RA imekuwa nongwa.
Huu uongo uongo na kutojua vitu indetail ndio ulifanya tuonekane kituko cha dunia baada ya wale maprofesa kuja na hesabu ambayo kwenye dunia ya uchimbaji haipo.
safarini Khartoum Sudani.
Sasa kwanini nisikukodishie nikuuzie ilihali bado naona biashara yangu ina potentially
Transactions zinazofanywa na mtandao wa wahuni zina mambo mengi na mikakati mingi. Kukwepa kodi ya Serikali ni moja ya strategies zinazopewa kipaumbele. Kwa mauzo hayo, sidhani kama Serikali iliambulia capital gain tax yoyote.
Rugemalira na Singasinga walishatuchezesha hiyo drill. Tunaijua!
Mwehu weweMsafirishaji mkubwa wa Makaa ya mawe Kwa sasa ni Ruvuma Coal, hiyo Ngaka anayoisema inasuasua toka wameinunua hakuna wanachofanya pale wamekosa soko.
Aliyeifanya Bandari ya mtwara kuwa busy ni Ruvuma Coal huo mgodi wa Ngaka ulisimama miaka mingi mpaka mwaka jana jamaa walivyouchukua baada ya Tancoal kufail.
Kilichotokea ni Tancoal kufail kwenye operation na madeni kumzidi ikiwa deni la RA, sasa sijui shida iko wapi hapo.
Safarini Khartoum Sudani.
Timing ya hizi mega transactions inazua maswali magumu!Hilo la Capita gain ndio HP atuambie walilipa au hawakulipa ila suala la zima la hiyo migodi kuchukuliwa na RA nalijua vizuri sana.
Chukua hii pia kwa kujazia.
Ule mgodi wa Ngaka pale Songea hata ingetangazwa unauzwa hakuna kampuni yeyote kubwa ingekuja kununua maana soko la makaa lilianguka na lilikuwa halina maana mpaka Vita ya Ukraine na Urusi ilipozuka na demand sio kubwa kivile.
Huyo RA pamoja na kuchukua ajilipe deni chamoto anakiona ndio maana naye anarun local na amepeleka mitambo ya zamani.
Biashara na Almasi Kwa sasa ni kichefuchefu maana De beers ambaye ndio mmiliki wa Almasi duniani naye ana umafia mwingi, hivyo kufanya large investment kwenye Almasi sio economical na NI only economical Kwa small scale ambaye anarun sub standard na kucompromise maeneo mengi awe na operation cost ndogo, kwahiyo napo RA kama kapigwa na operation inasuasua kwa sasa.
Watanzania mambo mengi tunadanganywa sana hasa hizi issue za kitaalam zinapokwenda kwenye mikono ya wanasiasa.
Safarini Khartoum Sudani.
Tancoal na Petra walipewa huduma gani na ya thamani gani? Nini kilichelewesha hizo transactions mpaka Chura Kiziwi aliposhika usukani?
Timing ya hizi mega transactions inazua maswali magumu!
Kitu gani kiliwafanya Tancoal na Petra wakashindwa kulipia huduma walizopewa na Caspian? Are they running unprofitable operations? If so, kwanini hawafungi migodi?Ingekuwa migodi mipya, unprofitable operations miaka ya mwanzoni inakubalika!Watu wengi mnahitaji sasa kujifunza namna ya hizi operation za migodi, mafuta na gas zinavyoendeshwa ili angalau muwe na mwanga.
Makampuni mengi yanayofanya uchimbaji wa gas,mafuta, na madini Kwa kiasi kikubwa wanacontract operation zao kwa contractor tofauti tofauti wakubwa na wadogo.
Moja ya kazi kubwa kwenye uchimbaji wa madini ni Load and Haul, Drill and Blast, kwa kiasi kikubwa hizo operation ndio Uti wa mgongo wa mgodi na zinakuwa na scope kubwa yenye hela nyingi.
Caspian mining/ Taifa mining and civil operation wanazozifanya kwenye hii migodi ni Civil works,, Load and Haul, Drill and Blast.
Petra huduma waliyokuwa wanapewa ni Load and haul, Drill and Blast na wao Petra walibaki na Plant + Sorting house na power house.
Pale Tancoal pia ilikuwa Drill and Blast, Load and Haul pia.
Hizo ndio kazi zenye invoice kubwa mgodini na ndio Uti wa mgongo wa mgodi.
Kifupi Kwa sasa hakuna kampuni yeyote yakitanzania (local) yenye uwezo wa kufanya hizo kazi kama Caspian ndio maana pia wako pia na Barrick wanafanya Load and haul na some civil works.
Pia ndio kampuni local yenye financial muscles kurun high value contract mining na hata kukaa muda mrefu bila kulipwa na wakakupa huduma Kwa standard Unayotaka ( hii ni moja ya requirement kwenye makampuni makubwa unapoomba contract kama contractor mkubwa)
Safarini Khartoum Sudani.
Vitu viko Plotted, tumia akili, walishimdwaje kulipa madeni na biashara inalipa? Makaa ya mawe hayauziki?? Almas hailipi??Hapo Williamson, RA alinunua hisa kwa Petra kupitia madeni anayowadai Petra.
Na anamiliki zaidi ya 50% sio 30%.
Petra waliuza hisa zao kwa RA, madeni yaliwazidi walikuwa hawalipi gharama za huduma, Kwa hiari yao walisurrender hisa zao na jamaa waliwatop up hela.
Anachomiliki RA pale ni Hisa zaidi ya 50% alizouziwa na Petra, kama Petra mwenyewe kakubali kuuza Hisa zake shida hapo ni nini?.
safarini Khartoum Sudani.
Kuna umiliki halali na kuna kujimilikisha kienyeji kwa njia haramu za kishetaniYeye kumiliki amekatazwa?
Hata wewe miliki hvohvo kwani umekatazwa ww ni mtu mzima una roho za kuswazi uswazi, kwahyo unaona wivu au ? Nenda ukaolewe naye basi ili uwe sehem ya umilikiKuna umiliki halali na kuna kujimilikisha kienyeji kwa njia haramu za kishetani
Ufeli usifeli cha muhimu ni kujua umilikaji wake ulifuata taratibu za Nchi? Laana zipo nyingi na laana zingine huletwa na mungu automatic pindi mwizi akiiba kupitiliza, zipo shutuma nyingi kwenye makampuni ya Rostam juu ya manejment zake anazoweka na kibaya zaidi hulazimisha kuweka waarabu ambao hawana Taaluma kwenye kazi za ujuzi mkubwa na baadhi ya hao waarabu huwa na ubaguzi na ukatili mkubwa ndipo kazi huwa ngumu na kampuni zake nyingi kukwamaMsafirishaji mkubwa wa Makaa ya mawe Kwa sasa ni Ruvuma Coal, hiyo Ngaka anayoisema inasuasua toka wameinunua hakuna wanachofanya pale wamekosa soko.
Aliyeifanya Bandari ya mtwara kuwa busy ni Ruvuma Coal huo mgodi wa Ngaka ulisimama miaka mingi mpaka mwaka jana jamaa walivyouchukua baada ya Tancoal kufail.
Kilichotokea ni Tancoal kufail kwenye operation na madeni kumzidi ikiwa deni la RA, sasa sijui shida iko wapi hapo.
Safarini Khartoum Sudani.
Wewe ndiyo mswazi yaani kwa Akili zako za Bangi unataka kila mtu Amiliki hovyo hovyo kienyeji kama unavyotaka? Acha ufala kuna wivu gani hapo? Acha uchawa wa kifalafala, mwambie Boss wako afuate sheria taratibu za Nchi acheni ujanja ujanja wa kipumbavuHata wewe miliki hvohvo kwani umekatazwa ww ni mtu mzima una roho za kuswazi uswazi, kwahyo unaona wivu au ? Nenda ukaolewe naye basi ili uwe sehem ya umiliki