MIZANIA TZ
JF-Expert Member
- Sep 22, 2024
- 699
- 374
🤣 🤣 🤣 🔊Mkata switch amechoka siku hizi...
🤣 🤣 🤣 🔊Mkata switch amechoka siku hizi...
Link Down Below
Rostam Aziz anamiliki hisa katika kampuni kadhaa zinazojihusisha na uchimbaji madini ya makaa ya mawe, hasa kampuni yake ya Taifa Mining and Civils ambayo ilinunua hisa za kutosha katika Mgodi mkubwa kabisa nchini wa TANCOAL, kutoka Intra Energy Corp. Mwaka 2021.
Rostam alikuwa mwanahisa mwenye hisa nyingi katika kampuni ya TANCOAL, ambayo inaendesha mgodi wa Makaa ya Mawe wa NGAKA (mgodi mkubwa kuliko yote nchini).
Taifa Mining ilinunua hisa nyingi toka Intra Energy mwishoni mwa mwaka 2021 na hisa binafsi za Rostam ndani ya Taifa Group ziliwekwa bayana mwanzoni mwa mwezi Aprili 2025.
Safari njema!Hahahahahaha, huyu jamaa yetu kuna watu wanamlisha matango.,.. juzi humu tumeandika kuhusu Williamson na hisa Petra naona ndiyo amepata taarifa....
Mwambieni hata kama tunamchukia hiyo migodi aliichukua kihalali, Petra na Tancoal wote walikuwa wanadaiwa madeni makubwa baada yakupewa huduma kwa muda mrefu na kampuni ya Caspian, both Petra na Tancoal walisurrender hisa Kwa hiari tuache kudanganya watu hata kama tuna shida na RA.
safarini Khartoum Sudan.
Vp mzee naona povu lako ni la kufulia turubaiHahahahahaha, huyu jamaa yetu kuna watu wanamlisha matango.,.. juzi humu tumeandika kuhusu Williamson na hisa Petra naona ndiyo amepata taarifa....
Mwambieni hata kama tunamchukia hiyo migodi aliichukua kihalali, Petra na Tancoal wote walikuwa wanadaiwa madeni makubwa baada yakupewa huduma kwa muda mrefu na kampuni ya Caspian, both Petra na Tancoal walisurrender hisa Kwa hiari tuache kudanganya watu hata kama tuna shida na RA.
safarini Khartoum Sudan.
Li sura ulilobandika hapo kwenye avatar ww ni R kabisaKwamba mimi ndio RA mwenyewe hahaha.
Uongo na kumanipulate watu kwasababu hawana details ni watu wakupokea ndio nisichokipenda.
Mbona hatuambiii namna Barrick alivyofanya Hostile take over kuachana na Acacia na kununua 40% hisa za Acacia...
Alichofanya Rostam kupitia kampuni yake Caspian ni kumalizana na wadeni wake Petra na Tancoal Kwa wao kumuuzia Hisa, kwasababu ni RA imekuwa nongwa.
Huu uongo uongo na kutojua vitu indetail ndio ulifanya tuonekane kituko cha dunia baada ya wale maprofesa kuja na hesabu ambayo kwenye dunia ya uchimbaji haipo.
safarini Khartoum Sudani.
Maandishi marefu upo deep sanaWatu wengi mnahitaji sasa kujifunza namna ya hizi operation za migodi, mafuta na gas zinavyoendeshwa ili angalau muwe na mwanga.
Makampuni mengi yanayofanya uchimbaji wa gas,mafuta, na madini Kwa kiasi kikubwa wanacontract operation zao kwa contractor tofauti tofauti wakubwa na wadogo.
Moja ya kazi kubwa kwenye uchimbaji wa madini ni Load and Haul, Drill and Blast, kwa kiasi kikubwa hizo operation ndio Uti wa mgongo wa mgodi na zinakuwa na scope kubwa yenye hela nyingi.
Caspian mining/ Taifa mining and civil operation wanazozifanya kwenye hii migodi ni Civil works,, Load and Haul, Drill and Blast.
Petra huduma waliyokuwa wanapewa ni Load and haul, Drill and Blast na wao Petra walibaki na Plant + Sorting house na power house.
Pale Tancoal pia ilikuwa Drill and Blast, Load and Haul pia.
Hizo ndio kazi zenye invoice kubwa mgodini na ndio Uti wa mgongo wa mgodi.
Kifupi Kwa sasa hakuna kampuni yeyote yakitanzania (local) yenye uwezo wa kufanya hizo kazi kama Caspian ndio maana pia wako pia na Barrick wanafanya Load and haul na some civil works.
Pia ndio kampuni local yenye financial muscles kurun high value contract mining na hata kukaa muda mrefu bila kulipwa na wakakupa huduma Kwa standard Unayotaka ( hii ni moja ya requirement kwenye makampuni makubwa unapoomba contract kama contractor mkubwa)
Safarini Khartoum Sudani.
Link Down Below
Rostam Aziz anamiliki hisa katika kampuni kadhaa zinazojihusisha na uchimbaji madini ya makaa ya mawe, hasa kampuni yake ya Taifa Mining and Civils ambayo ilinunua hisa za kutosha katika Mgodi mkubwa kabisa nchini wa TANCOAL, kutoka Intra Energy Corp. Mwaka 2021.
Rostam alikuwa mwanahisa mwenye hisa nyingi katika kampuni ya TANCOAL, ambayo inaendesha mgodi wa Makaa ya Mawe wa NGAKA (mgodi mkubwa kuliko yote nchini).
Taifa Mining ilinunua hisa nyingi toka Intra Energy mwishoni mwa mwaka 2021 na hisa binafsi za Rostam ndani ya Taifa Group ziliwekwa bayana mwanzoni mwa mwezi Aprili 2025.
Kununua migodi sio tatizo, tatizo na pale unapo uziwa mgodi wa makaa ya Mawe kwa shs 5bil , ina maana kapewa bure , ila hiyo shs 5 bil inalipwa tu Ili kuonyesha Kwamba mgodi ikiuzwa!Amegusia kuhusu Mgodi wa makaa ya mawe ulionunuliwa na Rostam Aziz pamoja na Mgodi wa Almasi wa Williamson.
Migodi yote miwili Rostam ameinunua Samia alipoingia madarakani.
#kataawahuni
Kununua migodi sio tatizo, tatizo na pale unapo uziwa mgodi wa makaa ya Mawe kwa shs 5bil , ina maana kapewa bure , ila hiyo shs 5 bil inalipwa tu Ili kuonyesha Kwamba mgodi ikiuzwa!
Li sura ulilobandika hapo kwenye avatar ww ni R kabisa