Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,499
- 5,956
Hii ni mpya?
Ndiyo, lakini amemaliza sasa hivi Mkuu.Hii ni mpya?
Ni wakati wa kumlilia JPM, hata waliomchukia weka hasira pembeni, tupiganie uzalendo wetu.Very sad, let us unite, we shall win.
Wahuni ndio wanaorudisha nyuma maendeleo ya Africa.Ni wakati wa kumlilia JPM, hata waliomchukia weka hasira pembeni, tupiganie uzalendo wetu.
Amegusia kuhusu Mgodi wa makaa ya mawe ulionunuliwa na Rostam Aziz pamoja na Mgodi wa Almasi wa Williamson.
Migodi yote miwili Rostam ameinunua Samia alipoingia madarakani.
#kataawahuni
Hivi sheria ya kiongozi asishtakiwe iliwekwa na watu gani? Iondolewe ili kiongozi aongoze kwa nidhamu.JPM alale salama
Kasemaje Leo?Leo kakiwasha kweli.