Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
iyo stori ya kamfuko nimecheka sana kama mazuri wanavyo tufanyaHahahahahaha, huyu jamaa yetu kuna watu wanamlisha matango.,.. juzi humu tumeandika kuhusu Williamson na hisa Petra naona ndiyo amepata taarifa....
Mwambieni hata kama tunamchukia hiyo migodi aliichukua kihalali, Petra na Tancoal wote walikuwa wanadaiwa madeni makubwa baada yakupewa huduma kwa muda mrefu na kampuni ya Caspian, both Petra na Tancoal walisurrender hisa Kwa hiari tuache kudanganya watu hata kama tuna shida na RA.
safarini Khartoum Sudan.
Inauma sana! Polepole mwanangu aendelee tu kuwashushia nyundo hawa kenge, kwa kuanika uozo wao. Enough is enough!
mkuu lazima kuna sehemu una nufaika na mrija wa utamu, naona unaogopa ukiminywa utakosa utamuMsafirishaji mkubwa wa Makaa ya mawe Kwa sasa ni Ruvuma Coal, hiyo Ngaka anayoisema inasuasua toka wameinunua hakuna wanachofanya pale wamekosa soko.
Aliyeifanya Bandari ya mtwara kuwa busy ni Ruvuma Coal huo mgodi wa Ngaka ulisimama miaka mingi mpaka mwaka jana jamaa walivyouchukua baada ya Tancoal kufail.
Kilichotokea ni Tancoal kufail kwenye operation na madeni kumzidi ikiwa deni la RA, sasa sijui shida iko wapi hapo.
Safarini Khartoum Sudani.
iyo stori ya kamfuko nimecheka sana kama mazuri wanavyo tufanya
Acheni kutetea upigaji huu mkuu
Tancoal na Petra walipewa huduma gani na ya thamani gani? Nini kilichelewesha hizo transactions mpaka Chura Kiziwi aliposhika usukani?Hahahahahaha, huyu jamaa yetu kuna watu wanamlisha matango.,.. juzi humu tumeandika kuhusu Williamson na hisa Petra naona ndiyo amepata taarifa....
Mwambieni hata kama tunamchukia hiyo migodi aliichukua kihalali, Petra na Tancoal wote walikuwa wanadaiwa madeni makubwa baada yakupewa huduma kwa muda mrefu na kampuni ya Caspian, both Petra na Tancoal walisurrender hisa Kwa hiari tuache kudanganya watu hata kama tuna shida na RA.
safarini Khartoum Sudan.
Huyu ndo muasisi wa chaguzi za kidhulumati zisizo na mpakaNi wakati wa kumlilia JPM, hata waliomchukia weka hasira pembeni, tupiganie uzalendo wetu.
Unajua hapa jukwaani kuna shida moja: upo uwezekano wa wewe kuwa Rostam Aziz na sisi wengine tukaamini kuwa tunajadiliana na mtu mwingine asiyekuwa na conflict of interest!Hakuna anayetetea upigaji, Bali upotoshaji na uongo ndio wengine hatuupendi kwa vitu tunavyovijua.
Hili la Williamson Kwa taarifa yako tulilizungumzia humu juzi ndio amelinyaka wakati tunakosoa issue ya makaa..
RA ana kampuni inaitwa Caspian, ilikuwa ndio main contractor kwenye hiyo migodi yote miwili,, Ninaposema main contractor maana yake yeye ndio alikuwa na scope kubwa ya kazi, Pale Mwadui alikuwepo miaka miingi sana na alikuwa akitoa huduma Kwa Petra, Petra biashara ilipokuwa ngumu akawa ana bargain na kufanyiwa kazi kwa muda mrefu bure invoice zikawa zinalimbikiza mpaka pale walipokubaliana kuuziana Hisa, hivyohivyo pia na kule kwenye Makaa ya mawe.
Sasa shida iko wapi wakati wote Petra na Tancoal walikuwa wakidaiwa na Caspian na wenyewe walikubali Kwa hiari kusurrender Hisa.
safarini Khartoum Sudani.
File bankruptcy ilii kuuza hisa kwa bei cheee kwani nani ajui huo ujanja, we mtu na akili timamu ukanunue mgodi ambao waendeshaji wanasema hawapati faid na wana madeni ni ujanja ujanja tu unafanyika
Nimeona✌🏿💪🏿Ndiyo, lakini amemaliza sasa hivi Mkuu.
BILA SHAKA WEWE NI MWAKIJILIWA WA HAPO ..!UNA HISI UTAPOTEZA AJIRAMsafirishaji mkubwa wa Makaa ya mawe Kwa sasa ni Ruvuma Coal, hiyo Ngaka anayoisema inasuasua toka wameinunua hakuna wanachofanya pale wamekosa soko.
Aliyeifanya Bandari ya mtwara kuwa busy ni Ruvuma Coal huo mgodi wa Ngaka ulisimama miaka mingi mpaka mwaka jana jamaa walivyouchukua baada ya Tancoal kufail.
Kilichotokea ni Tancoal kufail kwenye operation na madeni kumzidi ikiwa deni la RA, sasa sijui shida iko wapi hapo.
Safarini Khartoum Sudani.
Unajua hapa jukwaani kuna shida moja: upo uwezekano wa wewe kuwa Rostam Aziz na sisi wengine tukaamini kuwa tunajadiliana na mtu mwingine asiyekuwa na conflict of interest!
Sasa kwanini nisikukodishie nikuuzie ilihali bado naona biashara yangu ina potentiallyMimi na wewe tunafanya biashara, nakupa huduma biashara imekuendea vibaya, umeniomba niendelee kukupa huduma, nimeendelea kukupa huduma mambo yako yamekuendea vibaya umeamua tukae mezani nikuongezee hela ukafe mbele uniachie biashara, kosa langu liko wapi.
Mbona HP haongelee, Hostile take over ya Barrick Kwa Acacia, Barrick alinunua hisa za Acacia na madeni biashara ikaisha kwanini Kwa RA imekuwa nongwa?
Safarini Khartoum Sudani.
BILA SHAKA WEWE NI MWAKIJILIWA WA HAPO ..!UNA HISI UTAPOTEZA AJIRA
OKAY ...Zungumza story ya kafulushi basiKwa hiyo nikubali tu uongo kwa jambo ninalolijua eti Kwa sababu ni Ponjoro RA na ?mimi sinufaiki naye?
Hata Kama ni harakati tuache uongo uongo ili harakati ziwe zina maana, huu uongo uongo unatufanya tuonekane hatuna maana hata kama madai yetu ni ya msingi.
safarini Khartoum Sudani