Polepole - kwa mazingira haya tukatae uhuni Tanzania

Ni wakati wa kumlilia JPM, hata waliomchukia weka hasira pembeni, tupiganie uzalendo wetu.
Unakosea sana kumtaja Jiwe kwenye ishu muhimu. Mtaje kwenye ishu zenu za unyonge. Sasa hivi ni kukataa wahuni lakini hatuungi mkono sukuma gang au kujiita wanyonge. Tapambane na hii hali iliyopo
 
Transactions zinazofanywa na mtandao wa wahuni zina mambo mengi na mikakati mingi. Kukwepa kodi ya Serikali ni moja ya strategies zinazopewa kipaumbele. Kwa mauzo hayo, sidhani kama Serikali iliambulia capital gain tax yoyote.

Rugemalira na Singasinga walishatuchezesha hiyo drill. Tunaijua!
 
Sasa kwanini nisikukodishie nikuuzie ilihali bado naona biashara yangu ina potentially

Tancoal alianguka baada ya soko la makaa kuanguka na yeye kuwa na madeni mengi, decision yake ndio ilikuwa hiyo, kumbuka Tancoal ilikuwa ni jamaa wa Australia.

Petra nao ni the same, mnunuzi na mpanga bei ya Almasi sokoni ni De"beers, Petra lazima akauze Almasi Kwa Debeers, vurugu za awamu ya tano zinafanya biashara ya Almasi ikawa ngumu na madeni yakawa mengi..

Tancoal Vs Caspian kesi ilikuwa mahakamani, Tancoal akaomba wayamalize, Petra hakukuwa hata na kesi waliyamaliza wenyewe.

Petra ni kampuni ya South Africa na Tancoal ni kampuni ya Australia.

Tafuta muda ujifunze hizo international business zinavyoendeshwa, hizo sio biashara za maandazi, kuna wakati inabidi ufunge utembee mambo yanapokuwa magumu, hasa gharama za uzarishaji zinapokuwa kubwa Vs unachozarisha.
Kwako inaweza isiwe economical maana unarun kwa international standard na share holder wako wanataka uwe registered kwenye stock exchange kubwa ambazo zinarestrict ISO standard.
Mwingine ambaye hayuko kwenye stock exchange yeyote atadecide kurun at low cost na akatoboa.

Somo ni Pana Sana.

Safarini Khartoum Sudani.
 

Hilo la Capita gain ndio HP atuambie walilipa au hawakulipa ila suala la zima la hiyo migodi kuchukuliwa na RA nalijua vizuri sana.

Chukua hii pia kwa kujazia.
Ule mgodi wa Ngaka pale Songea hata ingetangazwa unauzwa hakuna kampuni yeyote kubwa ingekuja kununua maana soko la makaa lilianguka na lilikuwa halina maana mpaka Vita ya Ukraine na Urusi ilipozuka na demand sio kubwa kivile.
Huyo RA pamoja na kuchukua ajilipe deni chamoto anakiona ndio maana naye anarun local na amepeleka mitambo ya zamani.

Biashara na Almasi Kwa sasa ni kichefuchefu maana De beers ambaye ndio mmiliki wa Almasi duniani naye ana umafia mwingi, hivyo kufanya large investment kwenye Almasi sio economical na NI only economical Kwa small scale ambaye anarun sub standard na kucompromise maeneo mengi awe na operation cost ndogo, kwahiyo napo RA kama kapigwa na operation inasuasua kwa sasa.

Watanzania mambo mengi tunadanganywa sana hasa hizi issue za kitaalam zinapokwenda kwenye mikono ya wanasiasa.

Safarini Khartoum Sudani.
 
Mwehu wewe
 
Timing ya hizi mega transactions inazua maswali magumu!
 
Tancoal na Petra walipewa huduma gani na ya thamani gani? Nini kilichelewesha hizo transactions mpaka Chura Kiziwi aliposhika usukani?

Watu wengi mnahitaji sasa kujifunza namna ya hizi operation za migodi, mafuta na gas zinavyoendeshwa ili angalau muwe na mwanga.

Makampuni mengi yanayofanya uchimbaji wa gas,mafuta, na madini Kwa kiasi kikubwa wanacontract operation zao kwa contractor tofauti tofauti wakubwa na wadogo.

Moja ya kazi kubwa kwenye uchimbaji wa madini ni Load and Haul, Drill and Blast, kwa kiasi kikubwa hizo operation ndio Uti wa mgongo wa mgodi na zinakuwa na scope kubwa yenye hela nyingi.

Caspian mining/ Taifa mining and civil operation wanazozifanya kwenye hii migodi ni Civil works,, Load and Haul, Drill and Blast.
Petra huduma waliyokuwa wanapewa ni Load and haul, Drill and Blast na wao Petra walibaki na Plant + Sorting house na power house.
Pale Tancoal pia ilikuwa Drill and Blast, Load and Haul pia.

Hizo ndio kazi zenye invoice kubwa mgodini na ndio Uti wa mgongo wa mgodi.
Kifupi Kwa sasa hakuna kampuni yeyote yakitanzania (local) yenye uwezo wa kufanya hizo kazi kama Caspian ndio maana pia wako pia na Barrick wanafanya Load and haul na some civil works.
Pia ndio kampuni local yenye financial muscles kurun high value contract mining na hata kukaa muda mrefu bila kulipwa na wakakupa huduma Kwa standard Unayotaka ( hii ni moja ya requirement kwenye makampuni makubwa unapoomba contract kama contractor mkubwa)

Safarini Khartoum Sudani.
 
Timing ya hizi mega transactions inazua maswali magumu!

Wengi msichojua, awamu ya tano biashara kubwa za mining Tanzania, Oil and gas zilistuck na makampuni mengi ya Oil and gas yalifunga Mtwara baada ya sintofahamu nyingi na hofu yakupoteza mitaji na kupata hasara.
Kwenye Oil and gas mpaka sasa wengi hawana confidence na Tanzania.

Williamson ulisimama uzarishaji baada ya mgogoro na Serikali na hapa ndio ukumbuke Caspian pia alikuwa anamdai Petra.
Baada ya awamu ya Mama kuingia na kuanza kusettle hizi mambo,, Petra walishapoteza confidence lakini pia financially wakawa na hali mbaya na operation imesimama na wanaandamwa na madeni.
TANCOAL mpaka wa Leo wako na madeni kibao ya watoa huduma wadogo wadogo na mategemeo ya watu ni kulipwa na Caspian aliyenunua mgodi japo naye ndio vile hali mbaya.

Safarini Khartoum Sudani.
 
Kitu gani kiliwafanya Tancoal na Petra wakashindwa kulipia huduma walizopewa na Caspian? Are they running unprofitable operations? If so, kwanini hawafungi migodi?Ingekuwa migodi mipya, unprofitable operations miaka ya mwanzoni inakubalika!
 
Vitu viko Plotted, tumia akili, walishimdwaje kulipa madeni na biashara inalipa? Makaa ya mawe hayauziki?? Almas hailipi??
 
Chawa wa Rostam wanufaika wa Rostam wanajitutumua kumtetea Rostam lakini wamechelewa sana hakuna mtanzania mwenye Akili Timanu atakataa kuwa Rostam ana mapungufu mengi na ni Fisadi Papa kama alivyopata kutajwa na marehemu Regnal mengi
 
Kuna umiliki halali na kuna kujimilikisha kienyeji kwa njia haramu za kishetani
Hata wewe miliki hvohvo kwani umekatazwa ww ni mtu mzima una roho za kuswazi uswazi, kwahyo unaona wivu au ? Nenda ukaolewe naye basi ili uwe sehem ya umiliki
 
Ufeli usifeli cha muhimu ni kujua umilikaji wake ulifuata taratibu za Nchi? Laana zipo nyingi na laana zingine huletwa na mungu automatic pindi mwizi akiiba kupitiliza, zipo shutuma nyingi kwenye makampuni ya Rostam juu ya manejment zake anazoweka na kibaya zaidi hulazimisha kuweka waarabu ambao hawana Taaluma kwenye kazi za ujuzi mkubwa na baadhi ya hao waarabu huwa na ubaguzi na ukatili mkubwa ndipo kazi huwa ngumu na kampuni zake nyingi kukwama
 
Hata wewe miliki hvohvo kwani umekatazwa ww ni mtu mzima una roho za kuswazi uswazi, kwahyo unaona wivu au ? Nenda ukaolewe naye basi ili uwe sehem ya umiliki
Wewe ndiyo mswazi yaani kwa Akili zako za Bangi unataka kila mtu Amiliki hovyo hovyo kienyeji kama unavyotaka? Acha ufala kuna wivu gani hapo? Acha uchawa wa kifalafala, mwambie Boss wako afuate sheria taratibu za Nchi acheni ujanja ujanja wa kipumbavu
 
Wanufaika wa mabaya ya Rostam Aziz muogopeni mungu na mnapaswa kulishukuru jukwaa la JF kwa kuwasaidia kujitambua na kutambua kuyajua mapungufu mengi ya Boss wenu Rostam Aziz ambaye ni Rafiki mkubwa wa January makamba na pia marehemu manji na Dp world
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…