Polepole - kwa mazingira haya tukatae uhuni Tanzania

Kwa kweli Polepole anastahili kujengewa sanamu kwa kufichua maovu ya CCM ambayo tunayajuwa siku zote ila tulikuwa tunaogopa kusema.
 
Safari njema!
 
Vp mzee naona povu lako ni la kufulia turubai
 
Li sura ulilobandika hapo kwenye avatar ww ni R kabisa
 
Maandishi marefu upo deep sana
 
Ipo siku WaTanganyika wataamka na kukuta kila chenye thamani wanamiliki akina Rostam Aziz, JK na Samia.
 
Amegusia kuhusu Mgodi wa makaa ya mawe ulionunuliwa na Rostam Aziz pamoja na Mgodi wa Almasi wa Williamson.
Migodi yote miwili Rostam ameinunua Samia alipoingia madarakani.
#kataawahuni
Kununua migodi sio tatizo, tatizo na pale unapo uziwa mgodi wa makaa ya Mawe kwa shs 5bil , ina maana kapewa bure , ila hiyo shs 5 bil inalipwa tu Ili kuonyesha Kwamba mgodi ikiuzwa!
 
Kununua migodi sio tatizo, tatizo na pale unapo uziwa mgodi wa makaa ya Mawe kwa shs 5bil , ina maana kapewa bure , ila hiyo shs 5 bil inalipwa tu Ili kuonyesha Kwamba mgodi ikiuzwa!

Ameuziwa mgodi au ameuziwa hisa na private entity ambaye walikuwa wanadiana naye?.
Tancoal ameuza hisa zake 60-70% na Petra ameuza hisa zake 60%, wote wamemuuzia Taifa group, kama sehemu ya kumalizana kutokana na madeni waliyokuwa wanadiana baada ya kupewa huduma kwa miaka mingi.

Safarini Khartoum Sudani.
 
Li sura ulilobandika hapo kwenye avatar ww ni R kabisa

hahahahaha Ayatollah jamaa yangu sana...
Vipi Kuna uhusiano wowote wa Mimi kusema ukweli juu ya uongo wa HP na picha ya Ayatollah?..

Dr Slaa Kuna siku alishadanganya Kuna bomba la mafuta linajengwa baharini Kwa siri kutoka Mtwara kwenda Dubai na watu wakaamini, ilikuwa awamu ya nne.
Tulibishana na watu hivi hivi tukaonekana wapumbavu tena Kwa simple logic tu, kwenye ulimwengu wa oil and gas hiyo ni massive project haiwezi kuwa siri.

Dr Slaa alishawahi kutudanganya RIZ 1 eti kakamatwa na madawa China na JK kapanda Ndege usiku kwenda kumuokoa na kukabidhi gas yetu Kwa wachina, ilikuwa pia awamu ya nne.
Tulimjibu kwa simple logic, hakuna tycoon WA madawa anayeweza kubeba madawa mwenyewe ikiwa punda wako wengi kitaa ( hii ni experience ya dark world).
Lakini Mtwara mpaka Leo hakuna kampuni ya kichina yenye kitalu cha gas na wala yenye uhusiano na China.

Inawezekana wote tunashida na CCM, lakini uongo uongo hauwezi kutusaidia maana utabackfire huko mbele.

Safarini Khartoum Sudani.
 
HP mwanzoni wa episodes zake alitufanyia analysis za kura za CCM toka awamu ya tatu mpaka tano... kupitia hizo analysis tafsiri yake aliamini CCM walikuwa hawaibi Kura,

Kwenye hizo analysis alimnanga JK baada ya kupata kura chache 2010 na kigezo chake nikwamba alikuwa na poor perfomance, na pia ilipelekea 2015 JPM kupata kura chache pia.
Lakini alimpa tano BWM 2000 na JPM 2020 kupata kura nyingi Kwa kigenzo cha good performance.
Sasa juzi anatuambia CCM wanamfumo wa kuiba kura ambao ulitumika 2015 na 2020,tafsiri yake hata kura za JPM hazikuwa halali..
Sisi wengine tunajua CCM wanaiba kura toka 1995 mpaka wa leo na hakuna kipya.

Ukisoma katikakati ya mistari ya HP vipo vingi utajifunza juu ya mifumo na shida ni nini baina yake na mifumo, sio Uzalendo Bali ni rival gangs fighting for authority.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…