Watanzania si wajinga. Ya nini kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100, si mko mdarakani, si mngefanya jana au hata sasa au hata bila ya kutwambia? Kwani mlikuwa na haja gani ya kumwambia nani mtafanya nini wakati wasaa huo mlikuwa nao na hata sasa mnao?
Polepole kasema mengi yenye ushahidi wa wazi. Mfano kasema pana watu mmewakumbatia waliokuwa wakimlenga Magufuli wapate nafasi wamalizane naye. Kwamba wamepita naye!
Kwamba baada ya majaribio mengi hatimaye walimnasa Morogoro ambako ratiba iliyokuwa ya kuishia kufungua soko la Kingalu bila kutarajiwa ikaongezwa siku moja kufungua viwanda.
Nyuso za Magufuli kabla ya kufungua kiwanda cha mwisho na baadaye kidogo Dar mbona zinaonekana lipo lilitokea Moro?
Mbona alichosema Magufuli Morogoro kumhusu Rostam au Angela Dar ni anachosema Polepole leo?
"Kipi anachosema Polepole hakina ushahidi wa wazi? Ni hili kuhusu Magufuli? Ni gesi ya buku mbili Kuba? Au lipi?"
Magufuli muda mfupi kabla ya kufungua kiwanda cha Moro uso angavu na maridhiano:
View: https://m.youtube.com/watch?v=mkN1skwAbr4&pp=ygUubWFndWZ1bGkgYWtpZnVuZ3VhIGtpd2FuZGEgY2hhIHJvc3RhbSBtb3JvZ29ybw%3D%3D
Magufuli Dar baada ya kutokea Moro na uso uliofubaa (ghost), dhahiri hayuko sawa:
View: https://m.youtube.com/watch?v=BxoGKAEz0PU