johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.
Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.
Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga
Juzikati amewataka waende karantini wakaenda
Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!