Polepole: Mbowe ni kiongozi wa kiimla asiye na dhamira njema kwa Tanzania

Polepole: Mbowe ni kiongozi wa kiimla asiye na dhamira njema kwa Tanzania

Kabisa mkuu.

Maana usipofanya au nje ya chama unaonekana MSALITI, sikushangaa lissu alivyokubali ndoa jinsia mbili maana chama kimeahalalisha
Alafu marehem Balozi Mahigha na Lugola wakaungana nao...yaani sijui waliwapa nini wapinzani?
 
Hivi wakati inamtokea alikua kwenye kikao cha nini?
Je,nani walikuwepo kwenye tukio?
Je,waliokuwepo kwenye tukio siku Mzee wetu anaanguka nani alisha fanyiwa mahojiano na polisi?
Isije kua kuna MAFIA
Hayo maswali yote unayouliza ulipaswa ukamuulize kamanda Mambosasa. Maana jinai yoyote inapelelezwa na polisi.
 
Hayo maswali yote unayouliza ulipaswa ukamuulize kamanda Mambosasa. Maana jinai yoyote inapelelezwa na polisi.
Aiwezekani kabisa...yaani Mzee amekitumika chama siku nyingi alafu inatokea tukio kama ili la kulishwa sumu. Tuipende Tanzania, Wazee na CCM yetu. Waliohusika na huu uhuni wasakwe tu nakufikishwa mbeke ya sheria.
 
Mbowe kwisha Habari yake

Amezoea kuongoza vijana wa Ndio mzee hawahoji

Sisi tunajua wafuasi wa Chadema wanamuogopa Mbowe acha tuwasaidie kuwasemea
Na nyie hamumuogopi kofuri siyo? Mnaropoka tu maana hamumuelewi Mbowe!
 
Almost vyama vyote vya siasa ni personal projects za watu. Wakipiga hesabu za investments walizofanya (pesa taslimu, muda, emotional torture kutoka kwa polisi, lupango etc), hawatokaa waachie ngazi.

Mifano kidogo tu ni Cheyo, Lyatonga Mrema, Dovutwa, Rungwe, Lipumba na sasa Mbowe. Wakiachia ngazi wataenda wapi? Nani atawalipa mitaji yao?😎
Mbowe amepotezeaw mali nyingi na kiongozi wa nchi! Pamoja na hayo Mbowe si maskini!
 
Aiwezekani kabisa...yaani Mzee amekitumika chama siku nyingi alafu inatokea tukio kama ili la kulishwa sumu. Tuipende Tanzania, Wazee na CCM yetu. Waliohusika na huu uhuni wasakwe tu nakufikishwa mbeke ya sheria.
Acha vyombo vya usalama vifanye kazi.
 
Mtu anakwapua bil nane wanaogopa hata kuhoji?
Bill 8 na serikali hii ya magu?? Tena kiongozi wa chadema na inavyochukiwa halafu waachwe hivihivi?? Acha kuota ndoto mchana kweupe wewe! Labda tuanze na nyie trillion 1.5 ipo wapiiii???
 
Mbowe amepotezeaw mali nyingi na kiongozi wa nchi! Pamoja na hayo Mbowe si maskini!
Wanachokifanya ccm lazima kitakuja kuwarudi siku wapinzani wakishika nchi, wengi sana watafilisiwa sababu chama chao kimejaza majizi hatari. Nguvu kubwa wanayotumia kukataa tume huru ya uchaguzi, haina muda mrefu pumzi itakata, hasa wananchi wakiamua kuidai tume huru. Hawa jamaa kwenye uwanja sawa wa uchaguzi ni wepesi sana. Cha msingi tukazane kudai tume huru, hii itawabana hata watakaoingia wasituibie kama hawa waliopo. CAG anahoji maswala ya msingi matokeo yake anatengenezewa zengwe hadi kuondolewa kwenye nafasi, tunataka serikali inayofuata sheria.
 
Trillion 1.5 ipo wapiii??? Tunataka pesa zetuuuuuuu
Kweli ufipa imejaza mazezeta. Mabaunsa yasiyotumia akili. Wakati Naghenjwa Kaboyoka anatoa majibu kuhusu zilipo Tril 1.5 hamkusikikiza bunge? Kwa nini mnarudia kuuliza kitu kilishapatiwa majibu?
 
Kweli ufipa imejaza mazezeta. Mabaunsa yasiyotumia akili. Wakati Naghenjwa Kaboyoka anatoa majibu kuhusu zilipo Tril 1.5 hamkusikikiza bunge? Kwa nini mnarudia kuuliza kitu kilishapatiwa majibu?
Pole bro ipo siku usukule utakutoka tuu, wakati CAG anahoji tulitaraji majibu wakati ule. Sio hizi taarifa zenu mlizopikapika tena baada ya kumuondoa aliyevumbua huu uozo. Jipangeni upya..
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kuna mtu alithubutu kumuita mtukufu fulani kuwa ni dikteta uchwala akaishia mahakamani! Ngoja tuone impartiality ya policcm katika hili.
 
Pole bro ipo siku usukule utakutoka tuu, wakati CAG anahoji tulitaraji majibu wakati ule. Sio hizi taarifa zenu mlizopikapika tena baada ya kumuondoa aliyevumbua huu uozo. Jipangeni upya..
Majibu kuhusu Tril 1.5 yalitolewa wakati Prof Assad ni CAG. Usiwe unakurupuka hovyo.
 


🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.

Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.

Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga

Juzikati amewataka waende karantini wakaenda

Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.

Chanzo: Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom