Polepole: Mbowe ni kiongozi wa kiimla asiye na dhamira njema kwa Tanzania

Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.

Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.

Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga

Juzikati amewataka waende karantini wakaenda

Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.

Chanzo: Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!
Haka Kajamaa ni kachizi flani vile ..............!!
 
Sherehe ya j2 bye bye koona maandamano yanaanzia wapi Lumumba au magogoni?
 
Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.

Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.

Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga

Juzikati amewataka waende karantini wakaenda

Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.

Chanzo: Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!
Huyo Polepole kamshindwa Kigogo-2014, kahamia kwa Mbowe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.

Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.

Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga

Juzikati amewataka waende karantini wakaenda

Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.

Chanzo: Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!
Kiboko ya CCM ni mbowe maana haipiti siku bila kumtaja hakika mti wenye matunda ndio upigwa mawe
 
Mbowe kwisha Habari yake

Amezoea kuongoza vijana wa Ndio mzee hawahoji

Sisi tunajua wafuasi wa Chadema wanamuogopa Mbowe acha tuwasaidie kuwasemea
Sawa mbuzi jike naona beberu Mbowe anawapa tabu sana
 
Ccm bila kumtaja Mbowe awapati usingizi wewe Mbowe ongeza mke naona Wanawake waccm wanalilia sana waoe
Ukweli unawekwa wazi. Mbowe hafai na hana nia njema na Taifa letu. Angalia alivyokuwa anapotosha kuhusu suala la ugonjwa wa Covid-19.Anatoa takwimu za uongo ili apate kick!
 
Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.

Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.

Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga

Juzikati amewataka waende karantini wakaenda

Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.

Chanzo: Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!
Mbowe ni hazina ya taifa haiwezekan kila kiongoz wa ccm akisimama lazima amwongelee mbowe tu huyo mbowe ana extra things ndomana anashambuliwa mno, I love the man kwa misimamo yake the man is genius tuache utani
 
Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.

Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.

Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga

Juzikati amewataka waende karantini wakaenda

Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.

Chanzo: Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!

Tunamuombea Mzee Mangula aje apone ili kuja kuwafafanulia wa Tz ilkuwaje.
 
Ukweli unauma, Chadema inakufa kwa uroho wa Mbowe. Mkiambiwa ukweli mnabaki kutukana tu.
Hivi kila siku CDM haifi tu? Mbona mnahangaika na beberu Mbowe kila uchwao? Kwa nini kuhangaika na kitu kilichokufa?

Mbuzi jike wa lumumba bana
 
Back
Top Bottom