johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
#Migongano ya kimaslahi ndani ya chamaKatibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa Chadema apendavyo.
Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.
Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga
Juzikati amewataka waende karantini wakaenda
Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.
Source Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Ndio ni dikteta!Kiongozi wa kiimla ndo dikteta au? Huo ni ukweli dhahiri. Navyoona kwa sasa kazi ya CDM ni kumtetea na kumtumikia Mbowe na si vinginevyo na CDM ipo kwa ajili ya Mbowe sio vinginevyo. Ukitaka kuona moto mwanachama yeyote wa CDM ajaribu kumkosoa huyo kiongozi wa kiimla lazima ang'oke. Katibu mkuu wa CDM kwa sasa ni Mdee na Bulaya, Mnyika ni spika tu.
Hilo swali linawahusu polisi!hivi kwanini CCM walimuwekea sumu Mangula na kwanini waliokua naye kwenye vikao hawahojiwi??
haya ndiyo tunatarajia yatolewe ufafanuzi na Polepole.
Hahahahahaha wale wa pale bongo muvi wa "ndiooooo" na "kugonga meza" hivi huwaonagi ndugu?? Refer Mh. Bwege, "Umeshiba? Ndioooo, Unanjaa? Ndiooo" pole bro naona akili bado zimeshikiliwa chattle!Mbowe kwisha Habari yake
Amezoea kuongoza vijana wa Ndio mzee hawahoji
Sisi tunajua wafuasi wa Chadema wanamuogopa Mbowe acha tuwasaidie kuwasemea
Hawawezi kukujibu kuhusu Mangula, waulize maswali mepesihivi kwanini CCM walimuwekea sumu Mangula na kwanini waliokua naye kwenye vikao hawahojiwi??
haya ndiyo tunatarajia yatolewe ufafanuzi na Polepole.
Hahahahahaha wacha kusema mic ipo chattle, speaker ipo Dom. Najaribu kuwaza tuu!Kiongozi wa kiimla ndo dikteta au? Huo ni ukweli dhahiri. Navyoona kwa sasa kazi ya CDM ni kumtetea na kumtumikia Mbowe na si vinginevyo na CDM ipo kwa ajili ya Mbowe sio vinginevyo. Ukitaka kuona moto mwanachama yeyote wa CDM ajaribu kumkosoa huyo kiongozi wa kiimla lazima ang'oke. Katibu mkuu wa CDM kwa sasa ni Mdee na Bulaya, Mnyika ni spika tu.
Biblia ni kitabu chenye taswira ya kila kitu.Kiongozi wa kiimla ndo dikteta au? Huo ni ukweli dhahiri. Navyoona kwa sasa kazi ya CDM ni kumtetea na kumtumikia Mbowe na si vinginevyo na CDM ipo kwa ajili ya Mbowe sio vinginevyo. Ukitaka kuona moto mwanachama yeyote wa CDM ajaribu kumkosoa huyo kiongozi wa kiimla lazima ang'oke. Katibu mkuu wa CDM kwa sasa ni Mdee na Bulaya, Mnyika ni spika tu.
Hata wewe kwisha habari yako, halafu polepole kwanini umeamua kutumia jina bandia?Mbowe kwisha Habari yake
Amezoea kuongoza vijana wa Ndio mzee hawahoji
Sisi tunajua wafuasi wa Chadema wanamuogopa Mbowe acha tuwasaidie kuwasemea
Hata wewe kwisha habari yako, halafu polepole kwanini umeamua kutumia jina bandia?