The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Haka Kajamaa ni kachizi flani vile ..............!!Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.
Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.
Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga
Juzikati amewataka waende karantini wakaenda
Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Mbowe ni kilaza wacha avune alichopandaBiblia ni kitabu chenye taswira ya kila kitu.
Namashaka na bulaya kama hakutumwa kimkakati kumharibu akili mbowe na halima mdee.
DJ zeroo kazungukwa na akina Delilah wawili kuipoteza cdm mwelekeo
Mtu anakwapua bil nane wanaogopa hata kuhoji?Mbowe kwisha Habari yake
Amezoea kuongoza vijana wa Ndio mzee hawahoji
Sisi tunajua wafuasi wa Chadema wanamuogopa Mbowe acha tuwasaidie kuwasemea
Huyo Polepole kamshindwa Kigogo-2014, kahamia kwa Mbowe?Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.
Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.
Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga
Juzikati amewataka waende karantini wakaenda
Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Mlizoea kuwanunua Wenyeviti dhaifu wa vyama vya siasa...kwa Mbowe mmechemka...Mbowe kwisha Habari yake
Amezoea kuongoza vijana wa Ndio mzee hawahoji
Sisi tunajua wafuasi wa Chadema wanamuogopa Mbowe acha tuwasaidie kuwasemea
Mangula naye ubishi kazidisha...hivi kwanini CCM walimuwekea sumu Mangula na kwanini waliokua naye kwenye vikao hawahojiwi??
haya ndiyo tunatarajia yatolewe ufafanuzi na Polepole.
Kiboko ya CCM ni mbowe maana haipiti siku bila kumtaja hakika mti wenye matunda ndio upigwa maweKatibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.
Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.
Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga
Juzikati amewataka waende karantini wakaenda
Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Sawa mbuzi jike naona beberu Mbowe anawapa tabu sanaMbowe kwisha Habari yake
Amezoea kuongoza vijana wa Ndio mzee hawahoji
Sisi tunajua wafuasi wa Chadema wanamuogopa Mbowe acha tuwasaidie kuwasemea
CCM wana weweseka kwa Mbowe kama wanawake "walo-talakiwa"Mbowe kitu uliyowafanyia ccm sio ya dunia hii, kila atakayepata nafasi ya kuongea lazima akuongelee
Ukweli unawekwa wazi. Mbowe hafai na hana nia njema na Taifa letu. Angalia alivyokuwa anapotosha kuhusu suala la ugonjwa wa Covid-19.Anatoa takwimu za uongo ili apate kick!Ccm bila kumtaja Mbowe awapati usingizi wewe Mbowe ongeza mke naona Wanawake waccm wanalilia sana waoe
Hata Prof Lipumba walimwita hivyo hivyo....... Leo yuko wapi?MaCCM yanahangaika na #MWAMBA.
MBOWE NGANGARIIIII!.
Mhe, Mbowe hana bei, MaCCM hayaamini.
Mbowe ni hazina ya taifa haiwezekan kila kiongoz wa ccm akisimama lazima amwongelee mbowe tu huyo mbowe ana extra things ndomana anashambuliwa mno, I love the man kwa misimamo yake the man is genius tuache utaniKatibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.
Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.
Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga
Juzikati amewataka waende karantini wakaenda
Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Sawa changudoa wa malunde tumekusikiaUkweli unawekwa wazi. Mbowe hafai na hana nia njema na Taifa letu. Angalia alivyokuwa anapotosha kuhusu suala la ugonjwa wa Covid-19.Anatoa takwimu za uongo ili apate kick!
Mmebakiza matusi tu.Sawa changudoa wa malunde tumekusikia
Hamjitambui nyie. Misukule ya LumumbaMmebakiza matusi tu.
Ukweli unauma, Chadema inakufa kwa uroho wa Mbowe. Mkiambiwa ukweli mnabaki kutukana tu.Hamjitambui nyie. Misukule ya Lumumba
Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.
Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.
Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga
Juzikati amewataka waende karantini wakaenda
Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Hivi kila siku CDM haifi tu? Mbona mnahangaika na beberu Mbowe kila uchwao? Kwa nini kuhangaika na kitu kilichokufa?Ukweli unauma, Chadema inakufa kwa uroho wa Mbowe. Mkiambiwa ukweli mnabaki kutukana tu.