Polepole: Mbowe ni kiongozi wa kiimla asiye na dhamira njema kwa Tanzania

Hivi kila siku CDM haifi tu? Mbona mnahangaika na beberu Mbowe kila uchwao? Kwa nini kuhangaika na kitu kilichokufa?

Mbuzi jike wa lumumba bana
Tunasubiri Bunge livunjwe mkianza kugawana meza na viti tufanye sherehe. Chadema hamna uzalendo na taifa lenu.
 
Kumbe leo Katibu mwenezi kakiri wazi wazi kuwa watanzania hawana kipato chochote ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe kwisha Habari yake

Amezoea kuongoza vijana wa Ndio mzee hawahoji

Sisi tunajua wafuasi wa Chadema wanamuogopa Mbowe acha tuwasaidie kuwasemea
Hivi Mh Mbowe angekuwa na mawazo au tabia za Jiwe hivi sasa unategemea nchi hii ingekuaje?? Hivi ingekuwa ni Jiwe kavunjiwa nyumba yake na kuharibiwa mashamba yake kisha kubambikiwa kesi lukuki angetulia kama Mh Mbowe alivyotulia with smile face kama vile hakuna lolote alilotendewa??

Hivi ccm ya Slow slow na Jiwe wameongeza wanachama wapya wangapi zaidi ya wale walionunuliwa kwa fedha taslim na ahadi ya vyeo??

Mlivyokuwa vichwa wazi mnamsifia mtu kama Slow slow ambae ameshindwa kukinadi chama kama Katibu muenezi matokeo yake ni kukikabidhi chama kwa vyombo vya dola eti ndiyo wafanye uenezi?? Aibu.

Mh Mbowe ndiye Nembo ya Siasa ktk Tanzania kwa sasa. Na ndiyo maana mnaweweseka. Tunamuombea afya njema azidi kuwafundisheni Siasa za Kistaarabu na siyo hizi zenu za kimabavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwani Mbowe ndo tatizo la Tanzania na watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe kwisha Habari yake

Amezoea kuongoza vijana wa Ndio mzee hawahoji

Sisi tunajua wafuasi wa Chadema wanamuogopa Mbowe acha tuwasaidie kuwasemea
Hivi waliotaka kumuua Mzee Mangula walishakamatwa?
 
1.5T
Ununuzi wa ndege
Chato international airport mkandarasi aliyejenga mfatilie ujue uhusiano wake na kuu la maadui
Ccm na ufisadi ni dugu moja
Hizo zote ni stori za kusadikika. PAC walishatoa majibu bungeni hakuna ufisadi.
 
Polepole wa katiba mpya alikuwa mtu maridadi sana bahati mbaya Wakomunisti wakamteka na wakauchota ubongo wake na kuweka mazagazaga ya ubongo kisha kumrudisha mtaani Polepole boga.
 
Uchumia tumbo wa Polepole ulijidhirisha pale alipowatelekeza wananchi kwenye mchakato wa katiba mpya, tangia hapo Polepole siyo Polepole tena ni mchumia tumbo.
 
Anataka wabunge wake waoane wenyewe kisa yeye kajimilikisha Mukya,ukioa nje ya chama unaitwa MSALITI.
 
Sasa wameanza kuoana wanawake kwa wanawake
Kabisa mkuu.

Maana usipofanya au nje ya chama unaonekana MSALITI, sikushangaa lissu alivyokubali ndoa jinsia mbili maana chama kimeahalalisha
 
Suala linalofanyiwa uchunguzi na polisi halitakiwi kuingiliwa. Kama unataka taarifa nenda ofisi ya kamanda wa kanda maalumu Dsm.
Hivi wakati inamtokea alikua kwenye kikao cha nini?
Je,nani walikuwepo kwenye tukio?
Je,waliokuwepo kwenye tukio siku Mzee wetu anaanguka nani alisha fanyiwa mahojiano na polisi?
Isije kua kuna MAFIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…