Pole bro ipo siku usukule utakutoka tuu, wakati CAG anahoji tulitaraji majibu wakati ule. Sio hizi taarifa zenu mlizopikapika tena baada ya kumuondoa aliyevumbua huu uozo. Jipangeni upya..
Napoteza muda wangu tuu, haya kaunge mstari upokee buku 7 yako LumumbaMajibu kuhusu Tril 1.5 yalitolewa wakati Prof Assad ni CAG. Usiwe unakurupuka hovyo.
Hakuna binadamu aliekamilika hivo kila mtu ana madhaifu yke sasa kwa kukukumbusha tuKatibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.
Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.
Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga
Juzikati amewataka waende karantini wakaenda
Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Hiyo kitu wala haipo. Mmekosa hoja mmebaki kusingizia buku 7.Napoteza muda wangu tuu, haya kaunge mstari upokee buku 7 yako Lumumba
Polepole ni nani kwenye CHADEMA? Nani kamtuma awasemee wana CHADEMA?mwambie aende zake huko akaongee na rafiki yake CoronaKatibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo.
Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka.
Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga
Juzikati amewataka waende karantini wakaenda
Mbowe hana dhamira njema kwa taifa hili kwani alitaka wananchi wafungiwe ndani bila kipato chochote wakati yeye na wabunge wenxake wanalipwa mamilioni ya shilingi na serikali ya CCM.
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Na wewe msukule hupitwi, hivi mwanamke kabisa anayejitambua hawezi kuwa Kama ulivyo, I guess you were dragged from the parlour of harlots to Lumumba#Migongano ya kimaslahi ndani ya chama