HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,192
- 3,486
Mbona anapenda sana kuona watu wanapenda udaku...Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.
Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.
Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Muda utasema.
Kama hiki alichoongea ndo 50% basi hakuna kazi, nendeni mkalime nyie nyumbu mufaidi mamilioni ya Mama Samia kutokana na sera zake nzuri za kilimo mnajichelewesha š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.
Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.
Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Muda utasema.
Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.
Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.
Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Muda utasema.
Polepole anawapumbaza wajinga.Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.
Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.
Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Muda utasema.
Tulia next episode mbona una harakaš¤£š¤£Polepole ni mpuuzi tu, anakua kama mwanamke. Anasubiri mambo yake yaende anavyotaka ili asibwabwaje, kama ni kwa maslahi ya taifa aongee bila kutishia tishia na kuongea kama konokono
Baadhi waliacha kuwashwa washwa kabisa wakawa ni raia wema kabisa. š³ !Magufuli alijitahidi kutengeneza CCM ikawa ya kila mtu mama ampambane na ilo CCM iwe ya kila mtu kipindi cha Magufuli hata watoto wa Viongozi walikua na nidhamu sana
Well!I think there's something behind bars... Something fishy
Ngoja Tusubiri tuone !Labda kwa nchi za kiafrika lakini sio ulaya. Watadakwa na kushitakiwa huko huko katika ardhi za watu
Halafu huenda Polepole ana support ya nchi za ulaya ila bado ni siri.
Ikawaje sasa mkazima mitandao? Tulidhani habari zake haziwastuiPolepole, watanzania wameishampuza kabakia na mipasho tuš
Wanaohangaika naye ni wafuasi wa Chadema.
Polepole hana athari yeyote kwenye siasa za Tanzania hajawahi hata kushinda udiwani.
Inaonekana kakutisha sana.Kama hiki alichoongea ndo 50% basi hakuna kazi, nendeni mkalime nyie nyumbu mufaidi mamilioni ya Mama Samia kutokana na sera zake nzuri za kilimo mnajichelewesha š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Mi nilifikiri ni 0.005% tu, kumbe 50%?!!!š¤£š¤£š¤£š¤£
Bado hajui chochote mpuuzi huyo, lofa tu kama manyumbu wengi wa humu.
Hamna aliyezima mtandao watu wanajipanga na uchaguzi mkuu vipi mtauzuiašIkawaje sasa mkazima mitandao? Tulidhani habari zake haziwastui
Mambo atakayoongea Polepole ni :-Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Akiondolewa itaisaidiaje CHADEMA?Hivi kumuondoa Samia kuna hatari gani? Acha vitisho vya uongo
Uchaguzi haupo, labda reforms zifanyike kwanzaHamna aliyezima mtandao watu wanajipanga na uchaguzi mkuu vipi mtauzuiaš
Mi naona Pole pole hana jipya tena kwa sasa ameisha poteza mwelekeo.kwanza anatoa taarifa mapema jamaa wanazima mitandao.anatumalizia bando tu .anajua wanazima mitandao halafu anawapa taarifa simwelewi mimi.Hio ni moja ya Kauli ya Humpery Polepole siku ya jana ambapo alidokeza kuwa iwapo hatua hazitachulikwa, atalazimika kuongea mambo ambayo watu hawatapenda kuyasikia.
Pia, Bwana Polepole alisema mpaka jana, alikuwa ameongea asilimia 50 tu ya mambo anayoweza kuongea.
Nachokiona ni kwamba, anayosema yakipuuzwa, basi na yeye anaongea zaidi.
Swali: Ni mambo gani hayo ambayo watu hawatapenda kuyasikia?
Muda utasema.
Viongozi wa Chadema hawatatekwa na kuuawa kama Ally Kibao na MdudeAkiondolewa itaisaidiaje CHADEMA?