Polepole: Mkutano ujao nitaongea mambo ambayo hawatapenda kuyasikia

Afanye fasta maana nao wako mbele ya muda
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kikundi cha wahuni na serikali. Huwezi kukiitwa kikundi cha wahuni kilichopo sasa hivi ambacho kinaua hovyo vijana wanaokosoa eti ni serikali.

..serikali ndio itakuwa imeunda na inafadhili hao wahuni wanaoteka na kupoteza wakosoaji.

..unachoweza kusema ni kwamba kikundi hicho kimeundwa kinyume na sheria. Lakini huwezi kusema sio kikundi cha serikali.
 
Kunguru wa zanzibar hao. Shauku yote asikie ayo mastori waende wakabishane vijiweni. Nothing else.
 
Afanye bila kutangaza
 
Polepole, watanzania wameishampuza kabakia na mipasho tu😂

Wanaohangaika naye ni wafuasi wa Chadema.

Polepole hana athari yeyote kwenye siasa za Tanzania hajawahi hata kushinda udiwani.
If that's true, what is ur ass doing up here?
 
Huyu yuko nje ya nchi na huenda alishaomba hifadhi ya kisiasa.
Ukiwa nje ndo kiapo kinaisha?
Kuwa nje ndo hufikiki?
Wataomba taarifa za balozini alipokuwa so kuanzia ticket alitoka wapi akaenda wapi na mwisho ticket iliishia wapi.
Mwisho kitendo cha kuwa connected within internet huwezi jificha...
Mtu anasema unachange location kwa vpn unabaki kucheka tu..
 
😅😅Walimzuia Kugombea Urais asichukue Form 🤔
 
Labda ajitoe Muhanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…