GE2025 Polepole: Mwaka huu hakuna uchaguzi, ni CCM VS CCM, CCM na ACT-Wazalendo ni kitu kimoja!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Seuse ndio nini
 
We ni tahira
 
Sikiliza kwa taratibu toka mwanzo hadi mawisho. Asante sana Polepole, wenye uelewa tumekuelewa...sasa kazi imebaki kwetu Watanzania.
asante ...nilifanya kuamka kwenye usingizi nikakuta ameshapita sehemu hiyo........Now I have the insight of it!
 
Upinzani ni chadema pekee hivyo vyama vingine ni matawi ya ccm
 
Sikiliza kwa taratibu toka mwanzo hadi mawisho. Asante sana Polepole, wenye uelewa tumekuelewa...sasa kazi imebaki kwetu Watanzania.
Wenye Akili Timamu wapo na polepole wasaka uteuzi wanahaha kumjibu polepole bila mafanikio kwani hawana Hoja za msingi
 
ccm wana matokeo mfukoni sasa uchaguzi wa nini kupoteza pesa bure wajitangaze sasa tu watanzania wajue moja kuwa Nchi ni ya mfumo wa chama kimoja cha kifalume
 
Hawatakuelewa sasa hivi wengi wapo kwenye tension
Subiri bahari ipoe chombo kitaendelea na safari
 
Polepole hawezi kuzuia uchaguzi wala kuathiri chochote ndani ya Ccm
 
Hawatakuelewa sasa hivi wengi wapo kwenye tension
Subiri bahari ipoe chombo kitaendelea na safari
I agree, kuna mikakati ambayo nisiyo elewa.

Lakini tukiri for JF jukwaa la siasa kuwa sehemu ya mijadala things have to change.

Matusi kwakweli hapana.

Yaani hawa moderators wanadhani watumiaji matusi huku kwenye jukwaa la siasa ni haki yao.

Lazima się ambao sasa middle age na wazee waliopo tupambane matusi hapana

If anything politics ni mchezo wa watu wazima.

Matusi jukwaa la siasa tuseme sasa inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…