Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Mtupia tope tope humrudia mwenyeweI agree, kuna mikakati ambayo nisiyo elewa.
Lakini tukiri for JF jukwaa la siasa kuwa sehemu ya mijadala things have to change.
Matusi kwakweli hapana.
Yaani hawa moderators wanadhani watumiaji matusi huku kwenye jukwaa la siasa ni haki yao.
Lazima się ambao sasa middle age na wazee waliopo tupambane matusi hapana
If anything politics ni mchezo wa watu wazima.
Matusi jukwaa la siasa tuseme sasa inatosha.
Mtupia tope tope humrudia mwenyewe
Tuvae miwani tutazame tu na macho tuangalie muda utaongea
Hekima ya mtu mzima ipo kwenye kunyamaza na kuongea kidogo
Yaani wewe shida yako ni kuwakera tu? Amewapa maonyo hawasikii acha aweke wazi uchafu wao.Kwa nafasi yake Polepole akutakiwa kutoa siri za namna ile.
As much as much as uongozi wa ‘bi tozo’ ulivyo wa hovyo na nisivyomkubali.
Polepole kama hakuwa na backup ya maana kama alivyotuaminisha bora angebaki Cuba tu kula neema za nchi.
Pima vita vyako, ukiona si vya kushinda ata adui akukere vipi ni bora kukaa kimya kuliko alichofanya Polepole leo, yeye mwenyewe anajua atawakera wengi sana including hata hao viongozi waliokuwa wanamuunga mkono.
Anyway that’s my take, being a hypothesis; wengine wanaweza kuwa na mtazamo tofauti.
Leo kero yangu ni members wa JF wanaoachwa kutukana watu humu.Yaani wewe shida yako ni kuwakera tu? Amewapa maonyo hawasikii acha aweke wazi uchafu wao.
Huu ujinga utawaisha lini? Akiwa wapi hata yeye awe msanifu? Yàani kuwa katibu Mwenezi ndiyo awe msanifu wa mifumo ya nchi? Mwambieni aweke ushahidi wa anachokisema.
Ila tukuamini wewe?Watanzania mmekuwa wajinga na wapmbavu mliopitiliza. Yaani mnashughulika na ngano za Polepole? Who is Polepole kwenye security system ya nchi hii hata mkaamini ngano zake? Aliyewaambia ukiwa Katibu Mwenezi wa CCM au Balozi unakuwa kwenye jukwaa la kujua Siri za nchi amewadanga kwa kiasi kikubwa. Polepole sio mzima, ana tatizo la afya ya akili.
Una moyo mkuuHuu ujinga utawaisha lini? Akiwa wapi hata yeye awe msanifu? Yàani kuwa katibu Mwenezi ndiyo awe msanifu wa mifumo ya nchi? Mwambieni aweke ushahidi wa anachokisema.
Sawa, hayo yote hayaondoi ukweli aliosema..Huyu tahira Polepole amesahau yeye na boss wake Jiwe walivyofanya kampeni miaka 5 huku CHADEMA wakiwakataza hata kukusanyika vikao vya ndani.
Hata TV, redio na magazeti vilizuia kuripoti habari za CHADEMA.
Miezi miwili bado uchaguzi mkuu ndipo wakaifungulia . Na majimbo yote wakatia mfukoni kibabe.
Ni tahira pekee atamwona Polepole kuwa ni hero.
Sifa kuu ya tahira ni kusahau hovyo.
Haya matahira kazi kwenu
sorry, nilikuta ameshakwenda mbali nilipoamka usikuOkay
Najua nachokisemaIla tukuamini wewe?
Polepole amejenga hoja na anaeleweka, aliyoyasema yameshawahi kusemwa na viongozi wengi wa CCM Makinda, Bashiru, Nape, Rais na wengine.
Alichofanya yeye ni kuweka wazi nini haswa kinafanyika.
Jibu la kidwanziNajua nachokisema
Humtaki wewe na mumeo au?Tofauti ya JPM at least alikuwa na uzalendo na alijali walio chini...
Huyu wa sasa ni zero plus zero.. wananchi hawamtaki, kapwaya kote...
Narudia, najua nachokisema, thou sikuzuii wewe kujifariji na ngano za Polepole.Jibu la kidwanzi
Mkuu kuna la maana zaidi ya aliyoyaongea?mbona hakuna la mana kasema na anamaliza sasa
Acha majibu ya kitoto sema unacho kijua. Polepole kaweka hoja yake wazi, nawewe sema unachodai unakijua.Narudia, najua nachokisema, thou sikuzuii wewe kujifariji na ngano za Polepole.
Samia Hii ndio anaanza awamu yake mkuu,anamaliza 2035... Tunywe tu panadol kwa wingi kupooza maumivuSikiliza kwa taratibu toka mwanzo hadi mawisho. Asante sana Polepole, wenye uelewa tumekuelewa...sasa kazi imebaki kwetu Watanzania.
Sorry, nisamehe, wakati naamka that day usiku wa manane kumbe habari muhimu alikuwa ameshazisema.Mkuu kuna la maana zaidi ya aliyoyaongea?
Uliijua kabla 'network' ya wizi wa kura iliyosukwa kwa msaada wa Tiss?
Ulijua pasina shaka kuwa Act pamoja na Chaumma kuwa ni project za Ccm?
Alichoongea Polepole kimeligawa Taifa kwa sababu, kuna watu shingo ngumu walikuwa wamewekeza imami yao kwa Ccm kutokana na maudhui ya kuasisiwa kwake, lakini sasa uovu wote hadharani!
Je kuna kukisanua zaidi ya kumwaga mboga alikokufanya?