Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Polepole amesema Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu
Mbona Angela kairuki alipewa uwaziri bila kuwa mbunge raisi ana nafasi 10 za kuteuwa mbunge hata waziri gwajima ni hvyo hvyo.Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole
Katiba inasemaje mkuu?Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole
umeandika upumbavuWrite your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole
Hujui katiba, bora ungekaa kimya. Au peleka vihoja vyako hivi kule Facebook kwa wenzakoumeandika upumbavu
Sio kila kitu kinahitaji proof. Vitu vingine vinahitaji tu kuwa believable. Kwa jinsi tunavyomjua Mzee Wasira, madai ya Polepole ni believable kabisa!Nani anathibitisha hilo. Slo ni konokono mmoja mpuuzi
USSR
Katiba inasema kama alivyosema mtoa maoni. Kwani wewe unasemaje?Katiba inasemaje mkuu?
Inajulikanaje? Wasira anawezaje kuwa pm bila kuwa mbunge? Huoni ukakasi hapo?Hili mbona linajulikana.
Sema polepole anajua mengi sana.
Ndiyo maana huyo mpuuzi alimpeleka mbali ili asijekuharibu ugali wao.
Katiba inasema kama alivyosema mtoa maoni. Kwani wewe unasemaje?
Unamjua wasira wewe! Au basi mkuuInajulikanaje? Wasira anawezaje kuwa pm bila kuwa mbunge? Huoni ukakasi hapo?
Ilikuwa ni wakati wa kampeni alijua atashinda.Angekuwaje waziri mkuu bila kuwa mbunge wa jimbo
Wasira ni mzee wa miaka 80 ambaye sasa ni makamu mwenyekiti wa ccmUnamjua wasira wewe! Au basi mkuu
Kaangalie hiyo video acha kukimbilia ku comment.Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole
kwamba hujaelewa nini hapo?? si amesema kabsa wassira 2015 aligombea bunda mjini akashindwa na chadema!(esther bulaya) wakati anamwambia anataka kuwa waziri mkuu ni kipindi cha kampeni.Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole