Watu kweli inaonekana hawaja sikiliza 😁Kaangalie hiyo video acha kukimbilia ku comment.
Hawajasikiliza😅kw
kwamba hujaelewa nini hapo?? si amesema kabsa wassira 2015 aligombea bunda mjini akashindwa na chadema!(esther bulaya) wakati anamwambia anataka kuwa waziri mkuu ni kipindi cha kampeni.
Umesikiliza maongezi yake yote?, Wasira alikuwa anagombea jimbo moja na Ester Bulaya, hvyo akaenda kuongea na JPM ili kubook nafasi ya PM mapema akiamini angeshinda jimbon, Magu akamshangaa, na mbaya zaidi ester bulaya akashinda ubunge. Next time sikiliza vitu hadi mwisho, utajiabisha kwa maswali yako.Inajulikanaje? Wasira anawezaje kuwa pm bila kuwa mbunge? Huoni ukakasi hapo?
Definition of 'Nyumbu'.....Sio kila kitu kinahitaji proof. Vitu vingine vinahitaji tu kuwa believable. Kwa jinsi tunavyomjua Mzee Wasira, madai ya Polepole ni believable kabisa!
Angalia video hadi mwisho..Angekuwaje waziri mkuu bila kuwa mbunge wa jimbo
Kabisa na inaonekana ni machawa wasioweza kumudu hata kununua internet isiyo na ukomo na kasi kutokana na uduni wa kulipwa 7k kumsifia bi Mwenda kutwa nzimaWatu kweli inaonekana hawaja sikiliza 😁
Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole mpumbavu
Inajulikanaje? Wasira anawezaje kuwa pm bila kuwa mbunge? Huoni ukakasi hapo?
Huyo jamaa hajasikiliza kabisakw
kwamba hujaelewa nini hapo?? si amesema kabsa wassira 2015 aligombea bunda mjini akashindwa na chadema!(esther bulaya) wakati anamwambia anataka kuwa waziri mkuu ni kipindi cha kampeni.
Umeambiwa ilikuwa wakati wa kampeni, sikilizeni kwa utulivu.Inajulikanaje? Wasira anawezaje kuwa pm bila kuwa mbunge? Huoni ukakasi hapo?
Zinatindinganya au zinabananga Mkubwacomments za humu zinasikitisha sana
Una akili timamu kweli wewe?Mbona Angela kairuki alipewa uwaziri bila kuwa mbunge raisi ana nafasi 10 za kuteuwa mbunge hata waziri gwajima ni hvyo hvyo.
PM ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na muwakilishi wa wananchi wa jumbo lake.Mbona Angela kairuki alipewa uwaziri bila kuwa mbunge raisi ana nafasi 10 za kuteuwa mbunge hata waziri gwajima ni hvyo hvyo.
ni mtu hatari kwa tajiHili mbona linajulikana.
Sema polepole anajua mengi sana.
Ndiyo maana huyo mpuuzi alimpeleka mbali ili asijekuharibu ugali wao.
Fake hii mkuu. Photoshop nadhani.Ila CCM 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3467619