GE2025 Polepole: Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu

GE2025 Polepole: Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole mpumbavu
Alipigwa na Ester Bulaya. Lakini amesema baada ya kufanya lobbying Jina likarudi Na Wana mtandao akaenda kufanya lobbying Kwa Magufuli Ili ateuliwe yeye awe waziri mkuu. Maana yake angrkubaliwa ingefanyika juu chini ashinde ili awe PM 😂 😂 😂
 
Inajulikanaje? Wasira anawezaje kuwa pm bila kuwa mbunge? Huoni ukakasi hapo?
Mbona kaongea hujamuelewa? Kasema kabla alitaka akishinda ubunge ate ulimwengu kuwa pm. Bahat mbaya Ester akampiga chini.
 
Wewe mpumbavu jua kuwa waziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa. Kasome katiba ibara ya 51.
Ndio mnapewa hizo elfu 5 ili mtukane watu mitandaoni mi mwezi nina kiwanda cha matusi sema leo nimefunga suna.
 
Wasira anaonekana ni mtu mwenye tamaa na atakuja kufia kwenye madaraka au atakufa huku akitafuta madaraka hata baada ya Mama kustaafu 2030 bado Wasira ataendelea kutafuta madaraka
 
Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole
Alimfuata kabla ya uchaguzi. Kwamba angemsaidia sana kwenye kampeni ila akiwa Rais amteue kuwa waziri mkuu.
Magufuli alikataa na Mungu mkubwa Wasira akashindwa hata huo ubunge wenyewe.
 
Back
Top Bottom