GE2025 Polepole: Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu

GE2025 Polepole: Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbona Angela kairuki alipewa uwaziri bila kuwa mbunge raisi ana nafasi 10 za kuteuwa mbunge hata waziri gwajima ni hvyo hvyo.
Wewe mpumbavu jua kuwa waziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa. Kasome katiba ibara ya 51.
 
Wabunge wa kuteuliwa halimo kwenye katiba, ni upumbavu tuu wa CCM wa kulipana fadhira, mengine ni kama nafasi ya naibu waziri mkuu, kuzuia wagombea huru, kigezo cha kuwa na degree kugombea uraisi
 
Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole mpumbavu
Sasa haya ni matumizi mabaya ya mafanikio ya kuwakamata manyumbu na malofa mengine yasiyo na akili. Anaona ,aeshawashika hawa haters wa Samia basi Sasa analeta mbwembwe🤣🤣🤣🤣🤣
Ni matumizi mabaya sana haya.
 
Kumbe watz wapuuzi mtu unajibu bila ht kusikiliza,aisee Bado tuna safari ndefu sn
 
Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole mpumbavu
Mkuu uwe unasikiliza vizuri maelezo huenda wewe siyo msikilizaji mzuri ! Polepole amesema wakati akiwa bado jpm yupo kwenye kampeni aliomba awe waziri mkuu akiamnini jimbo la bunda mjini atashinda ubunge bahati mbaya alishindwa vibaya kiti cha ubunge akapata kada wa ccm aliyekuwa amekatwa jina ester bulaya kutoka ccm na kuhamia chadema , maana yake ester bulaya alimshinda mzee wasira alipohamia chadema ! Next time uwe unasikiliza kwa umakini ! Huenda wewe ni wale wanaoleta mada za taharuki
 
Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole mpumbavu
Umemsikiliza Polepole?
Maelezo yake yameshajibu hili swali kabla hujauliza.
 
😂😂😂😂 Polepole amenifurahisha kwa hili tumpongeze Magu
 
Hili mbona linajulikana.
Sema polepole anajua mengi sana.
Ndiyo maana huyo mpuuzi alimpeleka mbali ili asijekuharibu ugali wao.
Kweli, Walipomweka ZIMBABWE Wakaona ni karibu na nyumbani ndipo wakamtupia mbali huko Cuba APOTELEE HUKO
 
Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole mpumbavu
Nadhani Polex2 anazungumzia wakati wa kampeni mchuano Kati ya Ester Bulaya VS Wassira. Na sio baada ya kampeni kama ambavyo umefikiria wewe. Ndiyo maana asingeweza kuwa W/Mkuu kwa sababu Ester alimshinda mpaka akawa analalamika ameibiwa kura.
 
Back
Top Bottom