GE2025 Polepole: Mzee Wasira alimfuata Magufuli kuomba ateuliwe kuwa Waziri Mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hili mbona linajulikana.
Sema polepole anajua mengi sana.
Ndiyo maana huyo mpuuzi alimpeleka mbali ili asijekuharibu ugali wao.
Inajulikanaje? Wasira anawezaje kuwa pm bila kuwa mbunge? Huoni ukakasi hapo?
 
Write your reply...humu jf watu mengi wanakubali kila kitu yanacho ambiwa na pole pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…