MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Wewe mpumbavu jua kuwa waziri mkuu lazima awe mbunge wa kuchaguliwa. Kasome katiba ibara ya 51.Mbona Angela kairuki alipewa uwaziri bila kuwa mbunge raisi ana nafasi 10 za kuteuwa mbunge hata waziri gwajima ni hvyo hvyo.
Wewe ndo mpumbavu usiyejua katiba yako.umeandika upumbavu
Uko sahihi sana mkuu.comments za humu zinasikitisha sana
Sasa haya ni matumizi mabaya ya mafanikio ya kuwakamata manyumbu na malofa mengine yasiyo na akili. Anaona ,aeshawashika hawa haters wa Samia basi Sasa analeta mbwembweπ€£π€£π€£π€£π€£Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole mpumbavu
Sikiliza utaelewa ,aliomba kabla ht uchaguzi Bado mpk hayati kamshangaa na akapigwa chini na bulayaWrite your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole mpumbavu
Kumbe watz wapuuzi mtu unajibu bila ht kusikiliza,aisee Bado tuna safari ndefu snSasa haya ni matumizi mabaya ya mafanikio ya kuwakamata manyumbu na malofa mengine yasiyo na akili. Anaona ,aeshawashika hawa haters wa Samia basi Sasa analeta mbwembweπ€£π€£π€£π€£π€£
Ni matumizi mabaya sana haya.
Yaani mtu unajibu kabla hujasikiliza aibu tupu π€£π€Kaangalie hiyo video acha kukimbilia ku comment.
Mkuu uwe unasikiliza vizuri maelezo huenda wewe siyo msikilizaji mzuri ! Polepole amesema wakati akiwa bado jpm yupo kwenye kampeni aliomba awe waziri mkuu akiamnini jimbo la bunda mjini atashinda ubunge bahati mbaya alishindwa vibaya kiti cha ubunge akapata kada wa ccm aliyekuwa amekatwa jina ester bulaya kutoka ccm na kuhamia chadema , maana yake ester bulaya alimshinda mzee wasira alipohamia chadema ! Next time uwe unasikiliza kwa umakini ! Huenda wewe ni wale wanaoleta mada za taharukiWrite your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole mpumbavu
Umemsikiliza Polepole?Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole mpumbavu
Umemsikiliza Polepole kabla hujaandika hivi?Angekuwaje waziri mkuu bila kuwa mbunge wa jimbo
Hahitaji kuwa mbunge wa jimbo, anaweza kuteuliwa kati ya wale 10Angekuwaje waziri mkuu bila kuwa mbunge wa jimbo
PM lazima awe Mbunge wa Jimbo as per katibaHahitaji kuwa mbunge wa jimbo, anaweza kuteuliwa kati ya wale 10
Kweli, Walipomweka ZIMBABWE Wakaona ni karibu na nyumbani ndipo wakamtupia mbali huko Cuba APOTELEE HUKOHili mbona linajulikana.
Sema polepole anajua mengi sana.
Ndiyo maana huyo mpuuzi alimpeleka mbali ili asijekuharibu ugali wao.
Mwendazake alihakikisha hapati hiyo nafasi ya ubunge! kama asiowapenda wote walikosaWrite your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole mpumbavu
Nadhani Polex2 anazungumzia wakati wa kampeni mchuano Kati ya Ester Bulaya VS Wassira. Na sio baada ya kampeni kama ambavyo umefikiria wewe. Ndiyo maana asingeweza kuwa W/Mkuu kwa sababu Ester alimshinda mpaka akawa analalamika ameibiwa kura.Write your reply...mbona wasira 2015 hakua mbunge? Angewezaje kua waziri mkuu bila kua mbunge jimbo? Pole mpumbavu
Angekuwaje waziri mkuu bila kuwa mbunge wa jimbo