Tetesi: Polepole na Dkt. Hassan Abbas wanawatisha watu wa media

Tetesi: Polepole na Dkt. Hassan Abbas wanawatisha watu wa media

Jamani wanaJF, nimepenyezewa ubuyu hapa na source yangu moja hivi kwamba ktk matukio 2 ya chadema; mkutano mkuu na uchukuaji fomu kule Dodoma. Polepole na mwenzake Hassan Abbas wamekuwa wakivipigia vyombo vya habari simu ili kuvikataza kurusha hotuba za Lisu

Kuna audio ya Polepole nimesikilizishwa (japo source amegoma kuirusha kwangu, hivyo sitoiweka hapa) na kuna namba ya simu ya Abbas na muda aliyopiga nimetajiwa.

Kama hii kitu ni kweli siyo uzushi, basi ni dhahiri shahili kwamba ccm na mawakala wao akina Abbas wana wasiwasi usio mithilika kiasi cha kukosa usingizi. Na hii inazidi kumpalilia njia Tundu Lisu

My take.
Kama Lisu ameshinda kifo cha risasi basi hata uchaguzi wa hila atashinda kwa kudra zake Mola. Amen!
Ameni
Shetani hajawahi kuweza kuzuia kutimia kwa Mipango ya Mungu
 
Wekeni ushahidi juu ya Polepole na Abbas kutishia wamiliki wa vyombo vya habari. Tena muweke audio clip authentic jinsi wanavyotishia. Vinginevyo ni uzandiki.

Ushahidi ukiwa tofauti na ule unaoutaka wewe, siyo ushahidi?

. Ushahidi wa kuona
. Ushahidi wa kusikia
.Ushahidi wa kimazingira
. Ushahidi wa kutenda


Chagua unapenda you?
 
Dr. Magufuli; kwa ajili ya Tanzania.

Wengine hao watakuwa rais wa familia zao.
 
Back
Top Bottom