Tetesi: Polepole na Dkt. Hassan Abbas wanawatisha watu wa media

Tetesi: Polepole na Dkt. Hassan Abbas wanawatisha watu wa media

Cahadema wafike kila kiijiji waambie mskusudio yao watanzania.
waliowengi vijiji hawana access za media watumia primitive way ya kuwasiliana na wananchi
Mkuu nadhani licha ya waliowengi vijijini kutokuwa na access na media lakini machungu na makali ya maisha wanayaona..itakuwa Ni kazi rahisi Kama kmsukuma mlevi endapo watagusiwa tu katika mkutano ya kijijini ni nini kilichosababisha Hadi Hali ikawa Tete kiasi hicho.

Never know
 
Yaah! Ni kweli mkuu kwa social media watu wengi watapata habari kwa haraka, lkn zaidi ni wa mijini. Tatizo litakuwa vijijini.
mkuuu kweli nakubaliana na wewe but , elewa kuna kitu chadema walianaza cha chema ni msingi huko wametapakaa kama corona so unashangaa watu wanawabeza tu bila kuweka mikakati ya msingi so watapigwa na wasielewe makombora yanatoka wapi amini nakwambia na itakua mkuu
 
Jamani wanaJF, nimepenyezewa ubuyu hapa na source yangu moja hivi kwamba ktk matukio 2 ya chadema; mkutano mkuu na uchukuaji fomu kule Dodoma. Polepole na mwenzake Hassan Abbas wamekuwa wakivipigia vyombo vya habari simu ili kuvikataza kurusha hotuba za Lisu

Kuna audio ya Polepole nimesikilizishwa (japo source amegoma kuirusha kwangu, hivyo sitoiweka hapa) na kuna namba ya simu ya Abbas na muda aliyopiga nimetajiwa.

Kama hii kitu ni kweli siyo uzushi, basi ni dhahiri shahili kwamba ccm na mawakala wao akina Abbas wana wasiwasi usio mithilika kiasi cha kukosa usingizi. Na hii inazidi kumpalilia njia Tundu Lisu

My take.
Kama Lisu ameshinda kifo cha risasi basi hata uchaguzi wa hila atashinda kwa kudra zake Mola. Amen!
Wanajua Lisu ameishashinda
 
Umeshaula huo ubuyu au bado una?
 
Tumbo la kuhara limewashika ccm
IMG_20200809_184512.png
 
Hata wagalegale vipi, sisi sasa tuko na Lissu Rais wetu.. yani Lissu sasa hazuiliki. Nimetoka kuangalia speech yake ya Singida, kwa kweli machozi yamenitoka tena na nimepata hasira ya kupiga hizo kura za Urais, wabunge na madiwani [emoji35]. CCM hampati kitu kutoka kwangu, familia yangu na watu wa mtaa wangu. Yani kuna watu ni makatili sijawahi kuona. Na sasa hatuwataki tena.. 2020 kichinjio cha kura kinawahusu.
 
Back
Top Bottom