Polepole ni Mkwara mbuzi tu, anatishia nyau ila hana lolote

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Screenshot_20250820_193758_X.jpg

Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.

Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
 
View attachment 3447330

Sawa. Wenye viburi hadi damu masikioni ndio huwa wanashituka
 
Ulisema tumpuuze, lakinj wewe ndio kila siku unamzungumzia
Dawa ya watu jamii ya akina Polepole ni kuwapuuza tu kwasabu Kila kitu nchini kinaongozwa either kwa mujibu wa Katiba ya taasisi husika au kwa mujibu wa Katiba ya Nchi.
Polepole anajipa umaarufu asio kuwa nao ni wakupuuzwa.
 
View attachment 3447330

Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.

Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Angekuwa "si lolote" usingem'mind'.
 
Ni kweli akishasema fulani kazaa na fulani , au akisema fulani kaua wawili, na atakaposema fulani Babaake ni fulani , Hakuna atakayejali ila sisi wananchi tutamsikiliza na kunakili kila Ujumbe wake
Mmchukueni agombee Urais kwenu muone Kama atakaa mwaka bila kuwasaliti na kurudi CCM.
Msaliti si mtu mzuri yafaa APUUZWE
 
View attachment 3447330

Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.

Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Kuna maneno aliongea wakati alipokamatwa dada yake tangia pale sijawahi kumzarau tena pole pole ana kitu anawalaza na viatu kila siku..
 
Ukimzalau polepole wewe kama mwana ccm huna nini ,huna lolote
 
CDM,
Polepole bila kujua lengo lake ni baya dhidi yao na Upinzani kwa ujumla. Polepole huyu aliyesifika kwa uvunjifu wa Haki, Ukandamizaji wa upinzani, Wizi wa kura, Kauli za chuki na kibaguzi kwa Wapinzani akiwa Mwenezi wa CCM leo CDM bila kujua wanamuona shujaa wao.
 
Shetani kawa malaika
 
Ukimzalau polepole wewe kama mwana ccm huna nini ,huna lolote
Kajifunze kuandika kwenye shule za MEMKWA kwanza ndiyo uje humu. Siwezi kujibizana na mtu anayeandika "ukimzalau" badala ya "ukimdharau"
 
Wewe utakuwa mlamba asali sio Bure mana Kipindi cha Utawala wa Magu ulikuwa critic mzuri sana na mambo ya Watu kupotea na Kutekwa ila Leo kumetokea regime change na upo kwenye mrija imekuwa blind kabisa na huoni majanga tunayopitia kama taifa,

wewe ndio pathetic sasa
 
View attachment 3447330

Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.

Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Jibu hoja zake, ni wapi kaonesha chuki binafsi na maslahi binafsi, kipi alichoongea ni cha uongo. Otherwise na wewe ni chuki binafsi
 
Back
Top Bottom