Mama Ametufikia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 535
- 1,395
100%
Lazima utetee huu mfumo wa hawa wahuni kwani unanufaika nao!Nani kaiona hiyo rushwa au hisia na chuki tu zinakutafuna?
Wapo wengi hawa...na vikundi vyao hadi watsapShida umekuwa hivi sasa kushiba pesa za CCm na ofisi za JF.View attachment 3447332
Haya mmefika wapi na pathetic loser wenu Polepole?Wewe utakuwa mlamba asali sio Bure mana Kipindi cha Utawala wa Magu ulikuwa critic mzuri sana na mambo ya Watu kupotea na Kutekwa ila Leo kumetokea regime change na upo kwenye mrija imekuwa blind kabisa na huoni majanga tunayopitia kama taifa,
wewe ndio pathetic sasa