Polepole ni Mkwara mbuzi tu, anatishia nyau ila hana lolote

Polepole ni Mkwara mbuzi tu, anatishia nyau ila hana lolote

Ni wakati wa kuondoa ile aibu ya enzi ya Mwalimu na Jomo Kenyatta. Kenyatta alimwambia mwalimu kuwa ana bahati ya kuongoza "maiti " wanaopuuza ya Polepole ndio "maiti " hawaoni yanayoendelea.
 
Tafadhalini wahuni msituzimie switch ifikapo saa 2.
 
Polepole ni wale wale sema tu sasa hivi hana chake, enzi za jpm alikuwa kama wenzie anaowapinga hivi sasa
 
Wamasai wamezidi idadi kwenye pori tengefu la Loliondo na Ngorongoro. DP WORLD amepewa mkataba wa kuendesha bandari ya Dar kama ilivyokuwa TICTS ya Karamagi.

Danganyeni familia zenu ambazo ndiyo wajinga wanawasikia
Adani unajua amehonga hao wahuni na Samia mwenyewe fedha kiasi gani ili kupewa berth hapo bandarini? Huyu mama ni mchafu hafai hata kusafisha vyoo licha ya kuwa Rais!
 
Ulikua na medical reports binafsi za kwake?
Na zaidi Utatafutaje kitu kinachojulikana .., Yan unamtafuta mchawi ambaye ashajulikana...ni suala la muda tu kiwekwe hadharani...
Mbona hilo liko wazi tu. Hata madaktari wa Israel walimuambia kabla ya uchaguzi wa 2020 kuwa kifaa chake cha moyo (defibrillator) kama hakitabadilishwa basi hawezi kumudu majukumu ya Urais. Alikaidi kubadili kwa woga wa kuwa kwenye nusu kaputi kwa siku 7
 
Ni wakati wa kuondoa ile aibu ya enzi ya Mwalimu na Jomo Kenyatta. Kenyatta alimwambia mwalimu kuwa ana bahati ya kuongoza "maiti " wanaopuuza ya Polepole ndio "maiti " hawaoni yanayoendelea.
Leta voice clip au video Kenyatta akiongea hivyo. Kinyume cha hapo ni rumours tu
 
Adani unajua amehonga hao wahuni na Samia mwenyewe fedha kiasi gani ili kupewa berth hapo bandarini? Huyu mama ni mchafu hafai hata kusafisha vyoo licha ya kuwa Rais!
Weka evidence hapa.
 
Aanze kumleta Ben Saanane au mabaki ya mwili wake maana Polepole na Makonda ndiya waliratibu utekwaji wa Ben Saanane

Umeona Kuna mmoja katika mashujaa wetu wote waliopotea nimemsahau? Tutapita kote Hadi Kwa waliopanga kumwua Lissu.

Wakirudi hao wote salama na tukawajua futungo wetu, wewe hautafurahi?

GytgLNbWkAAMw-a.jpeg


Tuko na Mungu, na tutamaliza na Mungu.
 
Weka evidence hapa.
Jirani zetu walimkataa Adani asiwekeze kwenye Jomo Kenyatta International Airport kwasababu aligundulika kuwahonga viongozi wao hivyo wananchi wakapiga Kelele serikalini ya Ruto ikasaliimu na kufuta mkataba wa kifisadi!
Wakati Kenya inamkataa Adani Huku Tanzania , Samia akamkumbatia na kumpa aendeshe bandari yetu na kumuahidi kuwa watampa mkataba wa kujenga transmission lines za umeme mara watakapofanikiwa kuigawa Tanesco into generation, transmission na distribution companies!! Yote hii ni Mipango ya wahuni kutafuta fedha za kuhonga wakati wa uchaguzi wa mwaka huu!!
This Samia woman is selling this country to the dogs ; Adani amehonga sio kwa Samia tu bali viongozi wakuu wanaohusika na uwekezaji wamepewa mshiko akiwemo Kitima Mkumbo na David Kafulila!
Haingii akilini wakati Wenzio wanamkataa mwizi wewe unamkubatia ; lazima Nawe utakuwa mwizi not otherwise.
Huyu bibi Kizimkazi ndio ameifikisha nchi hapo na bado wahuni wanamshinikiza aendelee!!
 
View attachment 3447330

Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.

Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!

Mkwara mbuzi siyo? Tunasema:

IMG_20240428_070927.jpg
 
Jirani zetu walimkataa Adani asiwekeze kwenye Jomo Kenyatta International Airport kwasababu aligundulika kuwahonga viongozi wao hivyo wananchi wakapiga Kelele serikalini ya Ruto ikasaliimu na kufuta mkataba wa kifisadi!
Wakati Kenya inamkataa Adani Huku Tanzania , Samia akamkumbatia na kumpa aendeshe bandari yetu na kumuahidi kuwa watampa mkataba wa kujenga transmission lines za umeme mara watakapofanikiwa kuigawa Tanesco into generation, transmission na distribution companies!! Yote hii ni Mipango ya wahuni kutafuta fedha za kuhonga wakati wa uchaguzi wa mwaka huu!!
This Samia woman is selling this country to the dogs ; Adani amehonga sio kwa Samia tu bali viongozi wakuu wanaohusika na uwekezaji wamepewa mshiko akiwemo Kitima Mkumbo na David Kafulila!
Haingii akilini wakati Wenzio wanamkataa mwizi wewe unamkubatia ; lazima Nawe utakuwa mwizi not otherwise.
Huyu bibi Kizimkazi ndio ameifikisha nchi hapo na bado wahuni wanamshinikiza aendelee!!
Sasa Adani katuibia nini?
 
Back
Top Bottom