Wenzenu wanatakatisha fedha nyinyi CHADEMA mnatakatisha wanasiasa waovu. Hata Makonda aliyemshambulia Tundu mwaka 2017 au Mafwele aliyeteka akina Deusdedith Soka akija CHADEMA mtampokea akimradi AIPONDE CCMUsiwe na akili kama za mtoto wa darasa la pili!!??
kwenye siasa watu hawapo static. Watu hubadilika eboo
Bado unataka tujadili hoja ya sukari hapa?? Are you serious?? Maamuzi ya Bashe ya kutoa vibali ndiyo yame stabilise bei ya sukari kutoka Tsh 10,000 kwa kilo mwaka 2023 hadi Tsh 3,000 hadi sasa. Bashe ni mshindi kwa hiliChawa mkubwa wa Rostam ni Hussein Bashe!! Hawa wahuni wametumia fedha nyingi sana kuwaangusha wabunge wasio “Chawa” kwenye kura za maoni akiwemo Kingwangallah! Na hizo fedha zimetokana na Ufisadi ndani ya wizara ya kilimo uliofichuliwa na Mpina bungeni kuhusu vibali vya sukari.
Anaendelea sasa mpaka 2030. Jiwekee panadol za kutosha. Maumivu ya kichwa utayapata sanaMnafki ni kibibi kilichokuwa kinajifanya kumuunga mkono Magufuli lakini sasa kimeuza nchi. Ni mpumbavu tu atakayesema Samia ni kiongozi anayestahili kuendelea...
Wananchi wakijua kuwa watawala wao ni wahuni watazinduka na kuchukua appropriate action!Hayo akiyasema yatatusaidiaje kufikia kwenye REAL REFORM?
Mungu wa mbinguni yupo hata aliyemtangulia alikuwa anashupaza shingo hivyo hivyo!Anaendelea sasa mpaka 2030. Jiwekee panadol za kutosha. Maumivu ya kichwa utayapata sana
Muda utaamua!Appropriate action ndiyo hii mnafanya kwenye keyboard!!
I am not talking about bei ya sukari, I am talking about how Bashe used the issuance of the sugar importation permits to corruptly make some loot!Bado unataka tujadili hoja ya sukari hapa?? Are you serious?? Maamuzi ya Bashe ya kutoa vibali ndiyo yame stabilise bei ya sukari kutoka Tsh 10,000 kwa kilo mwaka 2023 hadi Tsh 3,000 hadi sasa. Bashe ni mshindi kwa hili
Woga wa nini sasaView attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Wananchi wakijua kuwa watawala wao ni wahuni watazinduka na kuchukua appropriate action!
Ingekuwa kwa JPM hilo unalosema ni sahihiView attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Mtu Yuko nje ya nchi ,Anaongea vile,wewe hujui waliyoko nyuma yake ni wa aina gani,tunategemea misaada labda kwa waliyonyuma yake,uliona yaliyotokea Libya na kwengineko ,then unaona Hana jipya?View attachment 3447330