Bobwe2
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,712
- 2,891
Nakubaliana na ww,kama angehama chama tungesema katumwa kwa kazi maalum,lakin yumo ndani ya ccm anakabia kwa juuPolepole yuko sahihi
Nakubaliana na ww,kama angehama chama tungesema katumwa kwa kazi maalum,lakin yumo ndani ya ccm anakabia kwa juuPolepole yuko sahihi
Hizo akili mnazojiona mko nazo zitazidi kuwafelisha.Usiwe na akili kama za mtoto wa darasa la pili!!??
kwenye siasa watu hawapo static. Watu hubadilika eboo
Kama umoja wa kitaifa ni kuwafumbia macho wahuni wanaopora rasilimali za Tanganyika basi ujinga umeshinda vita!View attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Adui wa adui yako yupo upande wako!Nakubaliana na ww,kama angehama chama tungesema katumwa kwa kazi maalum,lakin yumo ndani ya ccm anakabia kwa juu
Nyie ndio mtajamba na teyari kaanza na yule mfadhili mkuu wa wanamtandao .Anatishia kujamba ilhali anahara
Chawa mkubwa wa Rostam ni Hussein Bashe!! Hawa wahuni wametumia fedha nyingi sana kuwaangusha wabunge wasio “Chawa” kwenye kura za maoni akiwemo Kingwangallah! Na hizo fedha zimetokana na Ufisadi ndani ya wizara ya kilimo uliofichuliwa na Mpina bungeni kuhusu vibali vya sukari.Polepole kasema rostam ni tapel na ni muhuni anaendesha genge la wahuni ccm tena kwa ushahid njo hapa ukanushe maneno yake na sio uanze kumjadili polepole.
Acha ungeseAnatishia kujamba ilhali anahara
Hana impact ndio maana CCM imempuuza, wanajua ni sisi tu ndio maana hakuna kiongozi anayemwongelea. Kimsingi ni jinga ht hajajipima ya kwamba CCM ni jitu kubwa hawezi ht kulitingishaView attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Kuwa na msimamo mazee. Tumpuzee au tumfuatilie? Mbona unamwanzishia nyuzi kama ni wa kupuuzwa?View attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Mnafki ni kibibi kilichokuwa kinajifanya kumuunga mkono Magufuli lakini sasa kimeuza nchi. Ni mpumbavu tu atakayesema Samia ni kiongozi anayestahili kuendelea...Mnafiki na mwongo
Maskini wewe na familia yako. Hela kidogo tu ukipata unanunua bando kuja JF kuichamba Serikali, wenzio wanaingiza kwenye fursa za biasharaSamia kisha hudumia miaka kumi anatakiwa aondoke!! Ameshindwa kuongoza nchi kwani umasikini umekithiri nchini kwasababu ya matumizi mabaya ya rasilimali za nchi!! Rais anaongozana na magari zaidi ya Mia kwenda mikoani ; kweli huyu bibi anajua mzigo anaowabebesha wananchi masikini kwa safari za namna hiyo?
Samia is unpopular kwa mambo mengine ya kijinga kama hayo ambayo yanawafanya watu wengi wamchukie!
She is not sensitive to people’s plight and yet she wants to cling to power as a surrogate of rich businessmen!
Kimsingi wewe ndiyo unafeli ila kwa sababu ya ufinyu wa akili zako bado huoni. Kibibi kinaipeleka nchi kusikojulikana.Hizo akili mnazojiona mko nazo zitazidi kuwafelisha.
Rostam ni mwekezaji mzawa, anajenga uchumi na kutoa ajira kwa Watanzania.Polepole kasema rostam ni tapel na ni muhuni anaendesha genge la wahuni ccm tena kwa ushahid njo hapa ukanushe maneno yake na sio uanze kumjadili polepole.
Ni kweli akishasema fulani kazaa na fulani , au akisema fulani kaua wawili, na atakaposema fulani Babaake ni fulani , Hakuna atakayejali ila sisi wananchi tutamsikiliza na kunakili kila Ujumbe wake
Situmii bando natumia wifi ; hata ingekuwa bando nafurahi kutoa mawazo yangu kupitia jamii forum!Maskini wewe na familia yako. Hela kidogo tu ukipata unanunua bando kuja JF kuichamba Serikali, wenzio wanaingiza kwenye fursa za biashara
Ni kweli Magufuli ndiye aliyefanya yafuatayo;-Tatizo lako linaanzia kwa kinyongo chako na JPM