Polepole ni Mkwara mbuzi tu, anatishia nyau ila hana lolote

View attachment 3447330

Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.

Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!

Kama wewe ndiye nyau mwenywe sawa. Unaweza kusema hayo. Kama siyo nyau ngonja tumsubiri nyau mwenyewe.
 
Usinipangie cha kuandika. Mama alianza vizuri ila mkataka kumpanda kichwani, wacha awaonyeshe yeye ni nani
Sawa sasa kama Ni Ivo kwanini wewe unampangia Pole pole cha Kuzungumza?
Kwanini msimjibu kwa hoja?
Au Spana anazopiga ni za moto sana
 
View attachment 3447330

Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.

Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Mkwara mbuzi unaotakiwa kukomeshwa kwa haraka? Mbona kama vile mkwara umewaingia kama mhogo wa jang'ombe
 
Mtoa Mada pole pole apuuzwe😂😂😂😂👇👇👇👇
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    55.4 KB · Views: 28
Kuna mtu alisema kuna watu wanataka kumuua Rais Magufuli. Magufuli hajafa?-Polepole.
 
Angekuwa "si lolote" usingem'mind'.
Samia kisha hudumia miaka kumi anatakiwa aondoke!! Ameshindwa kuongoza nchi kwani umasikini umekithiri nchini kwasababu ya matumizi mabaya ya rasilimali za nchi!! Rais anaongozana na magari zaidi ya Mia kwenda mikoani ; kweli huyu bibi anajua mzigo anaowabebesha wananchi masikini kwa safari za namna hiyo?
Samia is unpopular kwa mambo mengine ya kijinga kama hayo ambayo yanawafanya watu wengi wamchukie!
She is not sensitive to people’s plight and yet she wants to cling to power as a surrogate of rich businessmen!
 
Polepole kasema rostam ni tapel na ni muhuni anaendesha genge la wahuni ccm tena kwa ushahid njo hapa ukanushe maneno yake na sio uanze kumjadili polepole.
 
View attachment 3447330

Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.

Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Umoja gani unaoengelea you pathetic little man
 
Dawa ya watu jamii ya akina Polepole ni kuwapuuza tu kwasabu Kila kitu nchini kinaongozwa either kwa mujibu wa Katiba ya taasisi husika au kwa mujibu wa Katiba ya Nchi.
Polepole anajipa umaarufu asio kuwa nao ni wakupuuzwa.
Wewe uoni anachoongea kinagusa maslahi ya taifa?
 
Dawa ya watu jamii ya akina Polepole ni kuwapuuza tu kwasabu Kila kitu nchini kinaongozwa either kwa mujibu wa Katiba ya taasisi husika au kwa mujibu wa Katiba ya Nchi.
Polepole anajipa umaarufu asio kuwa nao ni wakupuuzwa.
Tatizo lako linaanzia kwa kinyongo chako na JPM
 
Back
Top Bottom