Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
- Thread starter
- #21
.Polepole anadhani anaweza kumanupulate Utawala ulioko Madarakani kwa kukitishia Chama na Serikali yake.Ndugu mleta uzi,
Hii Akili unayoitumia Jamiiforums, ndio hio hio huwa unaitumia na mtaani pia?
Nimuulize Polepole hivi anadhani yeye ana SIRI kubwa za nchi hii kuliko Marehemu ABOUD JUMBE ambaye mara baada tuu ya kwenda kinyume na Makubaliano ya ndani ya Chama alienguliwa na Kutulizwa na Mwalimu Nyerere? Hivi ni kweli Polepole anajiona ana Siri za KUKIPARANGANYA CHAMA kuliko alivyokua anazijua Marehemu LOWASSA na MEMBE? Polepole anadhani ana jambo la kukitishia CCM kuliko mambo waliyokua wanayajua the like of MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, SUMAYE, MREMA nk nk? Polepole anaweza kusimama leo akajitapa na kutishia Chama na Serikali kwa hicho anachodhani anakijua kuliko walioyokua wanayajua hao niliowataja huko juu na CHAMA hiki na Serikali yake haikuwahi kuteterekea?