Polepole ni Mkwara mbuzi tu, anatishia nyau ila hana lolote

Polepole ni Mkwara mbuzi tu, anatishia nyau ila hana lolote

Wewe na Bashe na kundi lenu la wahuni ni vikaragosi wa Rostam Aziz ambae anawabebea akili zenu na kulihujumu Taifa!!
Huyu mwizi amehusika na kashfa zote za kuliibia Taifa letu ikiwa ni pamoja na kujihusisha na kuuza madawa ya kulevya!’ Rostam’s brother Akram aliwahi kukamatwa na madawa ya kulevya na ilibidi kaka mtu atoke mafichoni kuja kumtoa korokoroni!
Umeongopa hakukuwa na kosa la madawa ya kulevya kwenye makosa ya Akram Aziz. Acheni chuki za bila sababu
Screenshot_20250821_141220_Facebook.jpg
 
Now you have come to your senses! Given that you agree with Albert Einstein, do you think Samia is the right person to continue as President given the mess she has created in the country’s economy? She is a thief who should be imprisoned or hanged!! Ameuza bandari, mbuga za wanyama na mpaka migodi na nyie mahanithi wa ccm Bado mnakenua Meno tu!
Ameuza bandari ipi? Mbuga gani za wanyama zimeuzwa? Watuita sisi mahanithi ila wewe waweza kuwa hanitji mpaka kwenye ubongo.
 
Jpm korona bana..hayo mengine ni roho za kimasikini tu kutaka kila mtu awe na maisha magumu kama wewe
Korona ya kudungwa sindano ama...😂😂😂Kwaio polepole ni maskin anataka watu wawe maskin kama yeye..🤣🤣🤣
Nasema ni Bora aendelee na kutishia watu ili hata yule mama wa sokoni mwenye smartphone na Facebook ajue makubwa zaidi ili ajue oktoba anaenda kupiga kura ama asipoteze muda akae afanye shuhuli zake
 
Angeongea mtu mwingine ambaye hakuwa kwenye team ya Magufuli inge make sense. Albert Enstein aliwahi kusema "Problems can not be solved by the same mind that created them"
Kwahiyo shida yako mtu haziyetokana na serikali ya Magu Kama ni hivyo mbona Mama Samia alikuwa sehemu ya serikali ya Magufuli na unamshabikia
 
Hawana watu wa ma
Hawana wa maana wamebakia kuokota makombo, watu wa maana wote wamekimbulia chama tawala yamebaki lialia ndio maana CCM haijihangaishi sahv, wamebaki kutafuta kiki kwa kufanya uhalifu, chadema bila kufanya uhalifu haiwezi kusikika tena, wataichokoza serikali wapate airtime
Kama hamuwaogopi Chadema kwanini mnatumia mahakama kuwazuia kufanya siasa Huku mkiwafungia jela na kuwaua viongozi wao?
Ccm bila kutumia vyombo vya dola hamuwezi kutoboa .Hivi sasa hands down Chadema ndio mpango mzima!! Ccm lazima mtumie fedha nyingi sana ili mpate followers hata kwenye mikutano yenu!
 
Korona ya kudungwa sindano ama...😂😂😂Kwaio polepole ni maskin anataka watu wawe maskin kama yeye..🤣🤣🤣
Nasema ni Bora aendelee na kutishia watu ili hata yule mama wa sokoni mwenye smartphone na Facebook ajue makubwa zaidi ili ajue oktoba anaenda kupiga kura ama asipoteze muda akae afanye shuhuli zake
Polepole ana hela gani,au kisa ana-stream mtandaoni muda mrefu?
 
Polepole ana hela gani,au kisa ana-stream mtandaoni muda mrefu?
Sijajua labda utuambie si mwanachama mwennzenu? Wewe umesema anaaambukiza umaskin ndio nauliza kumbe polepole MASKINI anaambukiza watanzania umaskin? Bora lakini maambukizi yake ya umaskin watanzania wema wapenda Haki na wenye HOFU ya Mungu wamejua mengi na Bado mengine ya naanza kufumuka...kwaio maambukizi yake ya umaskin watanzania wameyapenda...
 
Ameuza bandari ipi? Mbuga gani za wanyama zimeuzwa? Watuita sisi mahanithi ila wewe waweza kuwa hanitji mpaka kwenye ubongo.
You are so stupid you don’t know even what’s happening in your backyard; wamasai wanalalamika nini juu ya ardhi. yao? DpWorld inafanya nini bandari ya Dar? Rostam kuuziwa mgodi wa makaa ya mawe ni kwa maslahi ya nani?
Unajifanya kipofu basi angalau jitahidi uone!
 
Hakukua na madawa ya kulevya kwaio una justify madawa ya kulevya kwa kukutwa na nyara za serikali..
Walihongwa fedha na kuyaficha madawa ya kulevya!! Lakini alipokamatwa alikutwa na cocaine period! Hayo mengine mnaleta ni mauza uza!
 
Korona ya kudungwa sindano ama...😂😂😂Kwaio polepole ni maskin anataka watu wawe maskin kama yeye..🤣🤣🤣
Nasema ni Bora aendelee na kutishia watu ili hata yule mama wa sokoni mwenye smartphone na Facebook ajue makubwa zaidi ili ajue oktoba anaenda kupiga kura ama asipoteze muda akae afanye shuhuli zake
Magu alikuwa na magonjwa mtambuka kabla hata COVID-19 haijampitia., pia ba pacemaker yake kifuani ilikuwa chakavu. Tusitafute mchawi
 
Kwahiyo shida yako mtu haziyetokana na serikali ya Magu Kama ni hivyo mbona Mama Samia alikuwa sehemu ya serikali ya Magufuli na unamshabikia
Alikuwa serikali ya Magu lakini aliwekwa pembeni.
 
Hakukua na madawa ya kulevya kwaio una justify madawa ya kulevya kwa kukutwa na nyara za serikali..
Hakukuwa na madawa ya kulevya, period. Hayo mengine ni ya kwako
 
You are so stupid you don’t know even what’s happening in your backyard; wamasai wanalalamika nini juu ya ardhi. yao? DpWorld inafanya nini bandari ya Dar? Rostam kuuziwa mgodi wa makaa ya mawe ni kwa maslahi ya nani?
Unajifanya kipofu basi angalau jitahidi uone!
Wamasai wamezidi idadi kwenye pori tengefu la Loliondo na Ngorongoro. DP WORLD amepewa mkataba wa kuendesha bandari ya Dar kama ilivyokuwa TICTS ya Karamagi.

Danganyeni familia zenu ambazo ndiyo wajinga wanawasikia
 
Magu alikuwa na magonjwa mtambuka kabla hata COVID-19 haijampitia., pia ba pacemaker yake kifuani ilikuwa chakavu. Tusitafute mchawi
Ulikua na medical reports binafsi za kwake?
Na zaidi Utatafutaje kitu kinachojulikana .., Yan unamtafuta mchawi ambaye ashajulikana...ni suala la muda tu kiwekwe hadharani...
 
View attachment 3447330

Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.

Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!

Subirini dawa iwaingie:

NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?

Kwani ni maslahi msiwarejeshe mnaowashikilia incomunicado?
 
Back
Top Bottom