Sawa. Wenye viburi hadi damu masikioni ndio huwa wanashitukaView attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Dawa ya watu jamii ya akina Polepole ni kuwapuuza tu kwasabu Kila kitu nchini kinaongozwa either kwa mujibu wa Katiba ya taasisi husika au kwa mujibu wa Katiba ya Nchi.Ulisema tumpuuze, lakinj wewe ndio kila siku unamzungumzia
Angekuwa "si lolote" usingem'mind'.View attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Mmchukueni agombee Urais kwenu muone Kama atakaa mwaka bila kuwasaliti na kurudi CCM.Ni kweli akishasema fulani kazaa na fulani , au akisema fulani kaua wawili, na atakaposema fulani Babaake ni fulani , Hakuna atakayejali ila sisi wananchi tutamsikiliza na kunakili kila Ujumbe wake
Chadema haiwezi kushiriki Uchaguzi utakaoua RaiaMmchukueni agombee Urais kwenu muone Kama atakaa mwaka bila kuwasaliti na kurudi CCM.
Msaliti si mtu mzuri yafaa APUUZWE
Kuna maneno aliongea wakati alipokamatwa dada yake tangia pale sijawahi kumzarau tena pole pole ana kitu anawalaza na viatu kila siku..View attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Ukimzalau polepole wewe kama mwana ccm huna nini ,huna loloteView attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
CDM,Kuna maneno aliongea wakati alipokamatwa dada yake tangia pale sijawahi kumzarau tena pole pole ana kitu anawalaza na viatu kila siku..
Shetani kawa malaikaCDM,
Polepole bila kujua lengo lake ni baya dhidi yao na Upinzani kwa ujumla. Polepole huyu aliyesifika kwa uvunjifu wa Haki, Ukandamizaji wa upinzani, Wizi wa kura, Kauli za chuki na kibaguzi kwa Wapinzani akiwa Mwenezi wa CCM leo CDM bila kujua wanamuona shujaa wao.
Jibu hoja zake, ni wapi kaonesha chuki binafsi na maslahi binafsi, kipi alichoongea ni cha uongo. Otherwise na wewe ni chuki binafsiView attachment 3447330