GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ponjoro hili lilirudi India . Huyu si Mtanganyika ni Mhindi kutoka India. Yuko hapa kwa vile anachuma mali zetu.

Mshenzi huyu ana passport za Marekani, UK na Canada, most likely kama walivyo wahindi wenzake!
 
Hii vita inaanza upyaaaa... ccm vs ccm.
Wajumbe msikae mbali!
 
Tunakujua wewe kuwa mtu ambaye unamchukia yeyote anayesema vizuri JPM
 
Ponjoro hili lilirudi India . Huyu si Mtanganyika ni Mhindi kutoka India. Yuko hapa kwa vile anachuma mali zetu.

Mshenzi huyu ana passport za Marekani, UK na Canada, most likely kama walivyo wahindi wenzake!
Mshenzi huyu ana passport za Marekani, UK na Canada, most likely kama walivyo wahindi wenzake!😎
 
Je hoja zake zinajibika ?
 
Sauti yake haiko sawa - ana shida gani huyu mzee? Anaumwa?
hayo ni matokeo ya dhambi za wizi wake
fikiria kutoka Caspian hadi Taifa
yupo kila mgodi wa dhahabu
na ule mgodi wa Almasi Shinyanga ni wa kwake sasa hivi.
Je, watu wanategemea Rostam aseme nini juu ya Samia?
Huwa nashangaa eti MO ndiye tajiri kuliko hawa waporaji.
 
Rostam yuko sahihi.
Ni kweli kabisa halo halina ubishi, Polepole hana historia ktk chama bali alidandia treni njiani.
Hao ambao hawana historia ama mizizi ccm ndo whistleblowers wazuri!
Je, kwenye hoja zake kuna mahali kadanganya!?
Wanamtandao 2010 si wapo... Si walimfitini JPM... Na sasa si wamerudi kwa kishindo?
Kila utaratibu unavurugwa vurugwa ila wanavuruga isionekane wamevuruga sana!!

No Reforms No Elections!
 
Unaweza kuta kipindi hkhk ndio lisu anaachiwa ili kupunguza joto jumba kuu.

Wanasema moto umewaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…