Polepole: Nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba

Ndio siasa zetu hizo mkuu.
 
Huyu chizi ni wa kuombea
 




Daaah!! Ngoja nijaribu kufunguka zaidi labda umenielewa


Wewe umesapoti Taasisi na siyo mtu,sawa

Ila Taasisi hiyo imenajisiwa na viongozi wa juu kabisa kwa kwenda/kutenda kinyume na misingi ya taasisi

Hao viongozi walionajisi Taasisi mpaka leo bado wapo kama viongozi na kibaya zaidi hawajawahi hata siku moja kutoka hadharani na kuomba radhi kwa kitendo chao hiko

Sasa basi kwa watu ambao walikuwa kinyume na kitendo kilochofanywa na viongozi,inategemewa baada ya uchaguzi tu wangeshinikiza kwa nguvu zote kuanzia humu mitandaoni(wewe sijawahi kuona hata post yako moja humu ukifanya hivyo,zaidi ya daily kuwaimbia mapambio) hadi huko mitaani viongozi wote wa juu kuachia ngazi

Lau imeshindikana basi wao (wanachama/wafuasi mfano wako)
wangeamua kujitenga na hiyo taasisi ili kuonyesha msimamo wao wa kutokubaliana na viongozi wakuu


Umenielewa hapo?
 

Tafuta post zangu ndio utajua mimi sio mwepesi hivyo kuhusu hao viongozi. Na kwa taarifa yako hata huko kanisani tunaenda mapadre wanabaka hadi watoto lakini hatuhami maana tunaamini katika dini na sio madhaifu ya padre. Je kila taasisi nitakayokwenda kiongozi akipotoka nitahama, badala ya kutaka mabadiliko nikiwa humo ndani? Mbona ww mkeo watu wamepiga sana na humuachi uone mwingine?
 
Eh hatari!
 
Huyu jamaa kichefuchefu tu.Bora kauli hii isemwe na wengine atafute shughuli ya kufanya
 


Haaah haaaah!!!
 
kama kila mtu anakula urefu wa kamba yake. Takukuru na CAG wana kazi gani?
 
Inexperience,teething problems za huyu rais. Nadhani rais alitaka kusema kiongozi asifanye mambo ambayo yako nje ya mamlaka yake.(Outside his sphere of influence).
Ujumbe wake uko vilevile na kwa Tafsiri ya haraka haraka ata yeye anakula kwa urefu wa kamba yake,ivo kahalalisha na wengine kujipakulia minyama,Nadhani kila mmoja wetu ameiona awamu yake inavyokwenda na utendaji wake kwa iyo hakuna haja ya kuanza kupata kigugumizi huu ndio ule muda uliongojewa Sana na WanaCCM Chukua chako mapema.
 
MaCCM kwa unafiki tu.. ni mabingwa DUNIANI wakifuatiwa na ZITTO nafasi ya pili…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…