GE2025 Polepole: Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache, basi muachie huru Lissu

GE2025 Polepole: Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache, basi muachie huru Lissu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache ukiwemo wewe, lakini ukimuachie huru Lissu tutakuwa na uhalali wa mjadala wa taifa, lakini mjadala auwezi kufanikiwa kama kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani ayupo. Amesema Polepole

 
Mipango ya Mwenyezi Mungu siyo ya kwetu binadamu. Ndungai alikuwa anaangalia plan ya 2025-2030, Mwenyezi Mumgu kumbe yuko na mipango mingine.
IMG-20250806-WA0096.jpg
 
Naomba Mungu kusaidia Samia, Mwachie Lissu kama ulivyomwachia Mbowe, punguza hasira na kuwa kiongozi ili ulinde maslahi ya Taifa

Japo Mbowe alitoka kwa maslahi ya Wachache wewe ukiwepo, lakini suala la huyu bwana umeweka Gerezani ukimtoa ni kwa maslahi ya Taifa, ili tukae na kuongea namna ya kuingia kwenye uchaguzi tukiwa pamoja kwa kukaa na kukubaliana njia sahihi ya kwenda kwenye uchaguzi, tunaweza pata mwaafaka kama Taifa

Kama kuna kitu cha kusogea katikakati na kukutana kama TAIFA ni muhimu, ukimwachia huyu Bwana unayeshikilia gereza, punguza hasira na mtoe, na uwezi pata mwafaka bila kumtoa huko gerezani,
 
Kwa mara ya kwanza Pole pole kuongea Jambo la maana.

"Lissu awe huru na kuwe na mjadala wa kitaifa"

#NRNE!!!
 
Aendelee kumtukana tu yy si ana raisi wake anaomba kama nani mjadala wa kitaifa juu ya nn kama yyy coleslaw anaona kuna tatizo s arekebishe
 
Daah ila polepole asije kua comedian tu.
Lissu atashinda tu haitaji huruma ya mtu
 
Back
Top Bottom