ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Alipo chapwa risasi huyu Pole Pole alitoa kauli gani kuhusu Lissu?
Mbowe na Ndugai walisoma pamoja Kibaha 🐼Mbowe ni kitendea kazi chake , Lissu amekataa kutumika kiboya sasa anamkomoa, Samia ni mwanamke katili sanaView attachment 3434225
Ni katili na mnafki kiwango cha sgr!Mbowe ni kitendea kazi chake , Lissu amekataa kutumika kiboya sasa anamkomoa, Samia ni mwanamke katili sanaView attachment 3434225