Naomba Mungu kusaidia Samia, Mwachie Lissu kama ulivyomwachia Mbowe, punguza hasira na kuwa kiongozi ili ulinde maslahi ya Taifa
Japo Mbowe alitoka kwa maslahi ya Wachache wewe ukiwepo, lakini suala la huyu bwana umeweka Gerezani ukimtoa ni kwa maslahi ya Taifa, ili tukae na kuongea namna ya kuingia kwenye uchaguzi tukiwa pamoja kwa kukaa na kukubaliana njia sahihi ya kwenda kwenye uchaguzi, tunaweza pata mwaafaka kama Taifa
Kama kuna kitu cha kusogea katikakati na kukutana kama TAIFA ni muhimu, ukimwachia huyu Bwana unayeshikilia gereza, punguza hasira na mtoe, na uwezi pata mwafaka bila kumtoa huko gerezani,