Kupitia bandiko la Britannica katika Thread yenye title "Dark Days 17 Mach 2021" ambayo imeelezea uhusiano wa born town na yule kidomo domo aliyeshambuliwa Kwa lisasi akitokea katika viunga vya Makuhani ule mwaka ambaye pia Kwa Sasa yumo kolokoloni, nadiriki kusema SilooSiloo ni Project ya Born Town. Haya mengine ni porojo tu za kuzuga hadhira.